BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Feb 22, 2011 #1 raha na umuhimu wa katiba mpya imejidhihirisha nchini kenya kwani leo rais kibaki ameondoa majina ya wateule wake aliyowasilisha bungeni bila ya ridhaa ya waziri mkuu!
raha na umuhimu wa katiba mpya imejidhihirisha nchini kenya kwani leo rais kibaki ameondoa majina ya wateule wake aliyowasilisha bungeni bila ya ridhaa ya waziri mkuu!
Babu Lao JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2,042 Reaction score 179 Feb 22, 2011 #2 Nadhani kuna baadhi ya mambo mazuri inabidi tu-copy and paste kutoka katiba ya kenya, no moja wapo ni kama hili... kupunguza nguvu za raisi!!!
Nadhani kuna baadhi ya mambo mazuri inabidi tu-copy and paste kutoka katiba ya kenya, no moja wapo ni kama hili... kupunguza nguvu za raisi!!!
Mallaba JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 2,554 Reaction score 48 Feb 22, 2011 #3 yes, hapo sasa mambo ndio yameiva kwa wenzetu