Rais Kikwete amteua Natu Rashid Msuya, kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini PTF

Namvimbe mpasuke, ndindi,mmeipenda wenyewe!ndindi,ole wenu muandamaneeee! Ccm mbele kwa mbele,ccm ni ileile,mtaisoma namba.
 
...ngoja tuweke kumbukumbu sawa kwenye uzi huu.....Hii ndio itakuwa teuzi ya mwisho ya JK kwa utawala wake magogoni..kwa wale waweka kumbukumbu.....Na inaelekea teuzi hii ina msingi wake ....maana inatokea mwishooooni kabisa kwenye utawala wa JK uliotamalaki 'nepotism'.......

..Kwa kuwa magufuli anaapishwa tar 5/nov......seems hii itakuwa teuzi ya mwisho katika mlolongo wa teuzi tele alizofanya wiki hizi za mwisho..na inaelekea teuzi zake zitasimama hata akija magufuli...maana nae magufuli kateuliwa na JK......this is amazing.....
 
Nchi gani hii inyo ongozwa kwa kuvunja katiba hovyo hovyo namna hii jamani kikwetee mbona naona utawala wa magufuli ni mbovu sanaaa a
 
mtakubaliana na mimi tu, kwamba hata ikibaki dakika tano Kikwete anaweza kuchagua au kuteua,kumbuka bado kuna nafasi iko wazi iliyoachwa na Kombani na anategemea kuijaza wakati wowote kuanzia sasa
 

Punguza pumba
 
Kulikuwa na ulazima gani wa yeye kumteua kipindi hiki cha lala salama? Kwanini asimuachie magufuli Rais wa ccm ateua mtu kwenye Hiyo nafasi?
Kwa hali hii ndo ufahamu kwamba serikali ya makomeo haitakuwa na mabadiliko ya aina yoyote ile
 
Nasubiri nione salma kikwete atateuliwa kushika wadhifa gani, na yule dogo atateuliwa kuwa mshauri wa watoto wa viongozi, nchi yao bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…