kama usalama wa taifa wanamwandikia taarifa na hasomi wao wafanyeje? kama hana muda wa kuwasikiliza usalma wa taifa kwa kuwa yeye ni kiguu na njia wao wafanyeje? sidhani kama usalama wa taifa wanaweza kuwa smart kuliko wanayemshauri. Nyerere was very smart
Hii nchi kweli usanii umezidi ,ina maana wakati anamteua alikuwa hana taarifa/rekodi zake
how effective is this vetting thing?Hawa usalama wa Taifa wako wapi ??hadi mtu anapita kwenye vetting kweli ??inatia shaka hii hali ipo siku watateua mu marehemu stay tuned utajasikia tu....
how effective is this vetting thing?
Effective..!!?? I dought that...they didn't see Chenge had $ 1 Mil in off-shore bank account.
Choya aliyekuwa mbunge kwa kipindi kimoja (2000-2005) Alishindwa ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2005 na kufungua kesi mahakamani kupinga ushindi wa hayati Phares Kabuye (TLP) na matokeo yake kutenguliwa miezi 20 baada ya uchaguzi huo baada ya mahakama kuridhika kuwa mdaiwa alitumia lugha ya matusi wakati wa kampeni.
Hata hivyo, Kabuye hakuridhika na hukumu hiyo alikata rufaa ambayo hadi juzi alipofariki dunia katika ajali ya Basi mkoani Morogoro, ilikuwa haijasikilizwa
Kwa mujibu wa Simkoko, Choya aliporejea kutoka Dar es Salaam, alifuatwa na gari la wilaya Uwanja wa Ndege Mwanza na kuwaeleza walioompokea kuwa, 'mambo yameshaharibika'.
Baada ya hapo wakamsafirisha hadi Shinyanga kuungana na familia yake ambayo ilikuwa imeshakaa hotelini kwa siku tatu.
Mwenyekiti huyo wa CCM wilaya ya Biharamulo na familia yake walisafirishwa kwa njia ya barabara kupitia Kahama kurejea wilayani kwake.
Mwananchi Jumapili lilipowasiliana na Choya, alikiri kuwa ni kweli alisimamishwa kuripoti kwenye kituo kipya cha kazi lakini akabainisha kuwa hadi jana, alikuwa hajui sababu zilizosababisha mabadiliko hayo ya ghafla.
"Kwa sasa (jana jioni) niko njiani naenda Dar es Salaam ili kujua sababu zilizosababisha hali hiyo," alisema Choya alipokuwa akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu.
Alisema kuwa alipata taarifa hizo akiwa safarini pamoja na familia yake kwenda Kishapu lakini baada ya kueleza, ilibidi airejeshe familia yake nyumbani.
Kuhusu kukabiliwa na kesi ya rushwa, Choya alikiri lakini akasema ni vigumu kutoa maelezo juu ya kesi hiyo kwa njia ya simu na isitoshe alikuwa kwenye basi.
Mnashangaa nini? hayo ni mambo ya kawaida. Jamaa sasa ili kuteua majaji ameagiza lazima aletewe na CV (maana yake mwanzo alikuwa anasaini tu) Kisa, kuna jamaa mmoja anitwa Ibrahim Said Mipawa amabye sasa ni jaji. Jamaa alimchagua jaji siku ya kuapishwa jamaa akapewa kitabu cha kiislamu ikabidi akatae aombe(Gombo). Watu wote wakashangaa na agizo likatolewa lazima zije CV wakati wa kuchagua. Jina limempa ujaji jamaa, anastahili ila hakufit kwenye priority ya muda huo.
kwanini hakupewa kitabu cha imani yake toka mwanzo?
Na je kama han adini yoyote ingekuwaje?
Wanajamii kama mmesoma hii post najua mtagundua kuw stori ipo ktk maneno niliyobold.Mnashangaa nini? hayo ni mambo ya kawaida. Jamaa sasa ili kuteua majaji ameagiza lazima aletewe na CV (maana yake mwanzo alikuwa anasaini tu) Kisa, kuna jamaa mmoja anitwa Ibrahim Said Mipawa amabye sasa ni jaji. Jamaa alimchagua jaji siku ya kuapishwa jamaa akapewa kitabu cha kiislamu ikabidi akatae aombe(Gombo). Watu wote wakashangaa na agizo likatolewa lazima zije CV wakati wa kuchagua. Jina limempa ujaji jamaa, anastahili ila hakufit kwenye priority ya muda huo.
Mnashangaa nini? hayo ni mambo ya kawaida. Jamaa sasa ili kuteua majaji ameagiza lazima aletewe na CV (maana yake mwanzo alikuwa anasaini tu) Kisa, kuna jamaa mmoja anitwa Ibrahim Said Mipawa amabye sasa ni jaji. Jamaa alimchagua jaji siku ya kuapishwa jamaa akapewa kitabu cha kiislamu ikabidi akatae aombe(Gombo). Watu wote wakashangaa na agizo likatolewa lazima zije CV wakati wa kuchagua. Jina limempa ujaji jamaa, anastahili ila hakufit kwenye priority ya muda huo.
Wanajamii kama mmesoma hii post najua mtagundua kuw stori ipo ktk maneno niliyobold.
Je kwa hili ni kweli? na kama kuna kiini cha udini ktk uteuzi ina maana muungwana ana lake moyoni ambalo SI ALILOTUMWA na watanzania.