nngu007 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 15,860 Reaction score 5,801 Dec 8, 2010 #1 Kila Mechi Rais Wetu kuhudhuria Jijini Dar Es Salaam Taifa Stars inafungwa au Sara haishindi Wana Jamii hamuoni kuna ni busara kwa Rais Kukaa Nyumbani kuliko kwenda Uwanjani?
Kila Mechi Rais Wetu kuhudhuria Jijini Dar Es Salaam Taifa Stars inafungwa au Sara haishindi Wana Jamii hamuoni kuna ni busara kwa Rais Kukaa Nyumbani kuliko kwenda Uwanjani?
S superfisadi JF-Expert Member Joined May 22, 2009 Posts 553 Reaction score 53 Dec 8, 2010 #2 tatizo huwa anafuatana na majini ya yahaya yanawachanganya taifa stars wanajikuta wakizunguka uwanjani kama watalii
tatizo huwa anafuatana na majini ya yahaya yanawachanganya taifa stars wanajikuta wakizunguka uwanjani kama watalii