Rais Kikwete kasema ujanani alikuwa mwanamichezo?

Joined
Jun 9, 2011
Posts
92
Reaction score
53
Nimemsikia JK akijinasibu kuwa alikuwa mwanamichezo ujanani mwake na sasa ni mpenzi wa michezo, rais wetu alikuwa anacheza mchezo gani? alicheza kwa level gani? kishule, kitaifa au kimataifa? alichukua medali gani au aliweka rekodi gani?
 
Kuna indoor games pia ! Kuna jamaa ananong'oneza kuwa kuna onbed games as well.
Kila mwanadamu ni mshiriki wa michezo.Hivyo rais wetu kusema hivyo hajakosea.
 
Kwa hiyo kila mwanamichezo lazima apate medali!!??? Mtaani kwetu huku kuna wanamichezo kibao kikapu soka riadha boxing.... Na hawana medali
 
Duh utakua haumjui JK jamaa ni mchezaji wa mpira wa kikapu tena yuko vizuri tu nadhani majukumu yalimtoa nje ya reli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…