Source:Habari Leo, Nipashe na Mtanzania. Pia amesema Baada ya Rasmu ya Pili Kukabidhiwa Ikulu na Jaji Waryoba, Kazi ya Kujadiliwa na Bunge Maalumu Itakakamilika Mwezi wa tano na Kabla ya Mwezi wa nane, Watanzania Watapewa fursa ya Kupiga Kura ya Maoni Kwa ajili ya Kuikataa au Kuikubali Katiba hiyo. Mchana Mwema!