Rais Kikwete na Juliana Shonza katika ubora wao

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakiwa kwenye matembezi ya kilomita tano pamoja na wanariadha wengine wakati wa ufunguzi rasmi wa mbio za nyika za Brazuka Kibenki 2019 zilizofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mbio hizo zilizoshirikisha taasisi 18 za kibenki zilizinduliwa rasmi na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Kikwete kwenye viwanja vya michezo vya JK Park zikiwa na lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya matibabu ya moyo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
 
Waziri unashikaje ujauzito??? Hizi ni dalili za kutokuwa mzalendo, nani atakufanyia majukumu yako?? Miezi 9+4 + 6 kazi za kupelekea nchi ya viwanda unafanyiwa na watu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…