Rais Kikwete: Nabii asiyekubalika nyumbani kwake?


Hii uliisahau pia;
1.Raisi wa kwanza TZ kutembelea sokoni Tandale na kushikashika maharage pale sokoni.
2.Raisi wa kwanza TZ kuingia gerezani na kuongea na wafungwa.
3.Raisi wa kwanza Duniani kutuambia tushangilie timu yetu ya taifa kwa kufungwa 5-1 na Misri eti kwa kuwa ndiyo tunaanza soka!
4.Raisi wa kwanza Duniani kusema hajui ni sababu zipi zinaifanya nchi yake isiendelee lakini bado anataka kuendelea kuwa raisi!!
 
on top of that, anatembelea hospitali, anahudhuria misiba, anakumbatiana na kina bi kidude, anabembea akisafiri nje, amesafiri hadi marekani kuomba vyandarua, ameagiza flying over dsm wakati anajua ni jambo lisilowezekana............ana mambo mengi sana mazuri
 

Niliposema "Mambo makubwa" Nilimaanisha ufisadi mkubwa kwasababu ndio issue kubwa zilizochukua nfasi during his first tenure,na ndio maana nikatoa reference kwamba uki analyze utaweza kuona impact yake ni accross the board kwenye mfumo wa kijamii hence nothing to be proud of as a gain,unless ufisadi ni gaining.....Ni kama engine,ikichanganya maji na oil inakufa,there's nothing to gain from it unless we're talking about scrapes....Sambamba na ufisadi ambao umei paralyze social,political and economic system yetu accross the board,there's nuttin we can gain from dis ish,unless we're talking about poverty(scrapes)hopefully tuko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…