Naomba niwe shehe Yahya na kutabiri kuwa ataahidi Barabara ya lami toka Nzega hadi Tabora (ndio kilio kikubwa kwa wilaya ya Nzega) wakati pesa hana na hakuna mahali kwingine anapoweza kwenda kuomba tena kwani keshawapitia wahisani woooooote, labda aanze mzunguko wa pili, watatu wa nne etc