MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 331
- 210
Nina elimu ya kutosha, ni mzalendo ninayewiwa na ukombozi wa hali duni ya maisha ya watanzania inayosababishwa na mifumo ambayo ingeweza kurekebishwa na michango yenye tija ya wajumbe wa katiba.
Kwangu kupata nafasi ya ujumbe ni heshima kubwa kwa nchi yangu zaidi ya fedha....niko tayari kutumia mshahara wangu kumudu gharama za maisha kwa kipindi chote cha bunge.
Chondechonde Rais wangu yeyote asiyeridhika na hiyo posho ya laki 3 asikuumize kichwa, ajiuzulu na mi niko tayari kuingia katika historia ya kutunga katiba bure kabisa.