Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
- Thread starter
-
- #21
Ok, Nikadhani aliuziwa kabisa laki duuuh,Tena na clip ipo
Mzee alimpa jogoo Magu bureeee
Ila alipompokea nae Rais akasema na mimi mzee nikupe zawadi akampa Laki
Hapo kama kamnunua tu View attachment 2035307
Yani kibali cha kusafiri Rais apewe na chama? Hv mnaujua Urais au mnatania 🤔🤔🤔Shaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM
MONDAY DECEMBER 06 2021
Summary
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Shaka ameeleza hayo leo Jumatatu Desemba 6, 2021 mbele ya Rais Samia, kwenye hafla ya kuzindua kiwanda cha Elsewedy Electronic East Africa Ltd cha kuzalisha vifaa vya umeme (Electronic Products ) kilichopo Kisarawe II, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam.
Shaka amesema kumekuwa na maswali mengi kwa watu kuhoji kwanini Rais huyo amekuwa akisafiri nje ya nchi mara kwa mara na kwamba ilani ya chama hicho imempa njia na nguvu namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wa ndani ya nchi.
“Kumekuwa na maswali kwanini Rais anasafiri sana nchi za nje. Amepewa baraka na kibali cha kusafiri nje ya nchi na ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ibara ya 132 kifungu kidogo cha 18, kifungu kidogo cha 22 kifungu kidogo cha 32 kifungu kidogo cha 46imemuonesha namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wan chi.,”amesema Shaka
Amesema Uongozi ni kitu cha ajabu sana na uhalisia wa uongozi utangulizwa na uzalendo na kwamba Rais huyo ameshaonesha asilimia 100 kutokana na ujasiri,utayari,karama ya udhubutu wa kutekeleza ilani kwa Weledi na kwa mafanikio makubwa.
Amesema hadi sasa Rais huyo muelekeo wake ni mzuri na alipeleka taifa kule ambako walio wengi wanatarajia kuwa na uchumi unaokuwa kila siku ndani ya Afrika na kuwafanya watanzania kujivunia nafasi yao ya kijiografia.
Mkuu viongozi wetu niwa nafiki Sana wanakuambia ni pesa za ndani kumbe wamekopa mikopo ya biasharaMbona deni liko juu sna mkuu?
Daaah hatari sana aise, Ukweli unalipa sanaMkuu viongozi wetu niwa nafiki Sana wanakuambia ni pesa za ndani kumbe wamekopa mikopo ya biashara
CCM ndio ilimpa Ridhaa, CCM ni kubwa kuliko Rais Samia,Yani kibali cha kusafiri Rais apewe na chama? Hv mnaujua Urais au mnatania 🤔🤔🤔
Power is power, ticket is something elseCCM ndio ilimpa Ridhaa, CCM ni kubwa kuliko Rais Samia,
Ila ukweli ndio huo mkuuPower is power, ticket is something else
KaziindeleeShaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM
MONDAY DECEMBER 06 2021
Summary
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Shaka ameeleza hayo leo Jumatatu Desemba 6, 2021 mbele ya Rais Samia, kwenye hafla ya kuzindua kiwanda cha Elsewedy Electronic East Africa Ltd cha kuzalisha vifaa vya umeme (Electronic Products ) kilichopo Kisarawe II, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam.
Shaka amesema kumekuwa na maswali mengi kwa watu kuhoji kwanini Rais huyo amekuwa akisafiri nje ya nchi mara kwa mara na kwamba ilani ya chama hicho imempa njia na nguvu namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wa ndani ya nchi.
“Kumekuwa na maswali kwanini Rais anasafiri sana nchi za nje. Amepewa baraka na kibali cha kusafiri nje ya nchi na ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ibara ya 132 kifungu kidogo cha 18, kifungu kidogo cha 22 kifungu kidogo cha 32 kifungu kidogo cha 46imemuonesha namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wan chi.,”amesema Shaka
Amesema Uongozi ni kitu cha ajabu sana na uhalisia wa uongozi utangulizwa na uzalendo na kwamba Rais huyo ameshaonesha asilimia 100 kutokana na ujasiri,utayari,karama ya udhubutu wa kutekeleza ilani kwa Weledi na kwa mafanikio makubwa.
Amesema hadi sasa Rais huyo muelekeo wake ni mzuri na alipeleka taifa kule ambako walio wengi wanatarajia kuwa na uchumi unaokuwa kila siku ndani ya Afrika na kuwafanya watanzania kujivunia nafasi yao ya kijiografia.
Shaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM

Amesema hadi sasa Rais huyo muelekeo wake ni mzuri na alipeleka taifa kule ambako walio wengi wanatarajia kuwa na uchumi unaokuwa kila siku ndani ya Afrika na kuwafanya watanzania kujivunia nafasi yao ya nchi inakimbia
Wakati jiwe akiwa hai hiyo ilani ilikuwepo au haukuwepoShaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM
MONDAY DECEMBER 06 2021
Summary
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje ya nchi, Rais Samia Suluhu Hassan amepewa na Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.
Shaka ameeleza hayo leo Jumatatu Desemba 6, 2021 mbele ya Rais Samia, kwenye hafla ya kuzindua kiwanda cha Elsewedy Electronic East Africa Ltd cha kuzalisha vifaa vya umeme (Electronic Products ) kilichopo Kisarawe II, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam.
Shaka amesema kumekuwa na maswali mengi kwa watu kuhoji kwanini Rais huyo amekuwa akisafiri nje ya nchi mara kwa mara na kwamba ilani ya chama hicho imempa njia na nguvu namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wa ndani ya nchi.
“Kumekuwa na maswali kwanini Rais anasafiri sana nchi za nje. Amepewa baraka na kibali cha kusafiri nje ya nchi na ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ibara ya 132 kifungu kidogo cha 18, kifungu kidogo cha 22 kifungu kidogo cha 32 kifungu kidogo cha 46imemuonesha namna ya kusimamia diplomasia ya uchumi wan chi.,”amesema Shaka
Amesema Uongozi ni kitu cha ajabu sana na uhalisia wa uongozi utangulizwa na uzalendo na kwamba Rais huyo ameshaonesha asilimia 100 kutokana na ujasiri,utayari,karama ya udhubutu wa kutekeleza ilani kwa Weledi na kwa mafanikio makubwa.
Amesema hadi sasa Rais huyo muelekeo wake ni mzuri na alipeleka taifa kule ambako walio wengi wanatarajia kuwa na uchumi unaokuwa kila siku ndani ya Afrika na kuwafanya watanzania kujivunia nafasi yao ya kijiografia.
Tuendelee kupambana Watanzania wenzanguShaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM

Jiwe ni Ilani ya 2015-2020Wakati jiwe akiwa hai hiyo ilani ilikuwepo au haukuwepo
Wamesemaje? SijasikiaHujasikia leo Elsewedy leo walivyosema kuhusu bwawa hili mkuu,Tuombe uzima mwakani utaona matokeo
Mradi uko mwishone so usiumize kichwa,Wamesemaje? Sijasikia
Nilini tulipiga vigelegele kwa JPM kukaa tu Magogoni?Ccm ni saratani. Magu alipo zuia safari za nje mlimpigia makofi. Mama kaamua kuwa Vasco da Gama mna msifu. Yaani hamjulikani kama nyie ni popo au ndege
RAIS MAGUFULI: Msiamini chanjo, tumieni nyungu, CCM makofi wawawaaaaaaa. RAIS SAMIA: Wananchi tuchanje, madhara yatakuwa madogo, CCM makofi wawawaaaaaaa!Nilini tulipiga vigelegele kwa JPM kukaa tu Magogoni?
Nenda kasome hivyo vipengele mjombaHuyo ilani ya mwaka gani? 2020? Iliyoandikwa Mwenyekiti akiwa John! Aaah wap
Wote hao ni MaRais wa CCM,RAIS MAGUFULI: Msiamini chanjo, tumieni nyungu, CCM makofi wawawaaaaaaa. RAIS SAMIA: Wananchi tuchanje, madhara yatakuwa madogo, CCM makofi wawawaaaaaaa!