Rais kusafiri nje ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi 2020|25

#KAZIIENDELEE
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
Kaziiendelee Tanzania
 
#Tanzania Kaziiendelee
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Wanawatoaga wapi hawa? Rais wa Tanzania anasafiri kwa kibali cha walipa kodi wa Watanzania! Wakwepa wanampa kibali kipi??
 
Nzuri sana hii
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…