Tetesi: Rais kutozungumzia suala la CAG

Tetesi: Rais kutozungumzia suala la CAG

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Huu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
 
Kawaingiza chaka akina NDUGAI, Rais anapenda umaarufu binafsi, baada ya kuwaagiza wapitishe lile azimio yeye atakaa kimya hasa baada ya kelele kuwa nyingi mtaani. Atasubiri hadi CAG amalize muda wake mwezi Agosti, ateue CAG mwingine na hapo aibu inabaki kwa BUNGE DHAIFU LA NDUGAI NA MACCM MENZAKE
 
Hii nchi kuitawala ni rahisi sana. Wazee wa matukio wameshadakia hili! Kuna maswali ya msingi sana watu hawajiulizi ili kupima uhalisia wa huu mgogoro.

Nani anaweza kufafanua Bunge halitashirikiana na CAG kwa misingi gani? How? Sio kila jambo linataka siasa, mambo mengine ni ya kikatiba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujiingiza kwenye msala wakati yeye ndiye kinara wa hili sakata kwa kumchochea kikaragosi chake ndugai amrahisishie kazi ya kumfuta kazi?

Akili za wapi MUUWAJI wewe!?

Mwili wa Ben Saanane mmeutupa wapi wewe na wauaji wenzio!?

Huu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
 
Mchango wa hovyo sana huu. Mipaka ipi hiyo??? Kwa hiyo angekubali kuomba samahani kwa kitu cha kweli? Umeona jana jinsi Mwenyekiti alivyowasilisha kwa mashaka mengi? Ifike mahali tujifunze kuwa wakweli kwa kutumia akili zetu wenyewe.
Kaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaingiza chaka akina NDUGAI, Rais anapenda umaarufu binafsi, baada ya kuwaagiza wapitishe lile azimio yeye atakaa kimya hasa baada ya kelele kuwa nyingi mtaani. Atasubiri hadi CAG amalize muda wake mwezi Agosti, ateue CAG mwingine na hapo aibu inabaki kwa BUNGE DHAIFU LA NDUGAI NA MACCM MENZAKE

Kumbe sarakasi yote hii CAG muda wake kisheria unaisha Augusti 2019?
Prof. Asad mola aendelee kukupa afya na akulinde na mahasidi . Kazi yako ya 4+ haiwezi kuchafuliwa kama kweli unamwogopa mungu na kumwamini. Wahasidi wataumbuka mchana kweupe.
Neno dhaifu/udhaifu/mapungufu etc ni shemu ya maisha ya Binadamu.
 
Huu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
Kwenda zako jiwe ndo anawatuma baadaye anakuta kachemka vibaya.
 
Kujiingiza kwenye msala wakati yeye ndiye kinara wa hili sakata kwa kumchochea kikaragosi chake ndugai amrahisishie kazi ya kumfuta kazi?

Akili za wapi MUUWAJI wewe!?

Mwili wa Ben Saanane mmeutupa wapi wewe na wauaji wenzio!?
Punguza jazba ndugu. Nani alimuua ben saa8?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Episode nyingine kwa staili ileile waigizaji walewale wa hovyoo kama Bongo movie!!! Mshiriki na kinara wa jambo hili ni yeye ndungu ni kisemeo tu.
 
Confuse them.... Ndio strategy anayetumia jamaa

You are strong than what you think...
 
Kaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu wewe!!Mipaka ya CAG unaijua na kama unaijua ni ipi? Kaendeshe boda boda na kukimbiza kama ambulance na kunywa viroba huko!! Hizi akili za kiduku huku JF ni shida! Ni wapi CAG amevuka mipaka yake? Ujinga ni kunywa konyagi ya kupima na kuingia JF
 
Kaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga
Sent using Jamii Forums mobile app
acha hizo, kama huujui ukaguzi na uhasibu kaa kimya watu wasianze kuhoji kiwango chako cha elimu au ufikiri wako. kauli ya CAG imetolewa kitaalamu kulingana na taaluma ya ukaguzi , tatizo kauli hiyo ilipogeuzwa ya kisiasa ndio tunaona kisanga hicho.
 
Huu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
Mfalme yuko uchi hadharani
 
Back
Top Bottom