Kawaingiza chaka akina NDUGAI, Rais anapenda umaarufu binafsi, baada ya kuwaagiza wapitishe lile azimio yeye atakaa kimya hasa baada ya kelele kuwa nyingi mtaani. Atasubiri hadi CAG amalize muda wake mwezi Agosti, ateue CAG mwingine na hapo aibu inabaki kwa BUNGE DHAIFU LA NDUGAI NA MACCM MENZAKEHuu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
Hii nchi kuitawala ni rahisi sana. Wazee wa matukio wameshadakia hili! Kuna maswali ya msingi sana watu hawajiulizi ili kupima uhalisia wa huu mgogoro.Huu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
Kaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhangaHii nchi kuitawala ni rahisi sana. Wazee wa matukio wameshadakia hili! Kuna maswali ya msingi sana watu hawajiulizi ili kupima uhalisia wa huu mgogoro.
Nani anaweza kufafanua Bunge halitashirikiana na CAG kwa misingi gani? How? Sio kila jambo linataka siasa, mambo mengine ni ya kikatiba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
Kaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaingiza chaka akina NDUGAI, Rais anapenda umaarufu binafsi, baada ya kuwaagiza wapitishe lile azimio yeye atakaa kimya hasa baada ya kelele kuwa nyingi mtaani. Atasubiri hadi CAG amalize muda wake mwezi Agosti, ateue CAG mwingine na hapo aibu inabaki kwa BUNGE DHAIFU LA NDUGAI NA MACCM MENZAKE
Kwenda zako jiwe ndo anawatuma baadaye anakuta kachemka vibaya.Huu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
Kweli wewe tumboKaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza jazba ndugu. Nani alimuua ben saa8?Kujiingiza kwenye msala wakati yeye ndiye kinara wa hili sakata kwa kumchochea kikaragosi chake ndugai amrahisishie kazi ya kumfuta kazi?
Akili za wapi MUUWAJI wewe!?
Mwili wa Ben Saanane mmeutupa wapi wewe na wauaji wenzio!?
Akili zako ziko makalioni.Kaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu wewe!!Mipaka ya CAG unaijua na kama unaijua ni ipi? Kaendeshe boda boda na kukimbiza kama ambulance na kunywa viroba huko!! Hizi akili za kiduku huku JF ni shida! Ni wapi CAG amevuka mipaka yake? Ujinga ni kunywa konyagi ya kupima na kuingia JFKaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga
Sent using Jamii Forums mobile app
acha hizo, kama huujui ukaguzi na uhasibu kaa kimya watu wasianze kuhoji kiwango chako cha elimu au ufikiri wako. kauli ya CAG imetolewa kitaalamu kulingana na taaluma ya ukaguzi , tatizo kauli hiyo ilipogeuzwa ya kisiasa ndio tunaona kisanga hicho.Kaka Lazima tufike mahali hawa wakuu wa vitengo na taasisi za kitaaluma wajue mipaka ya midomo yao.Hili sakata ni mfano mzuri sana na CAG ndiye atakayekuwa muhanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfalme yuko uchi hadharaniHuu mtego wamemuwekea mh Rais ataupita mchana kweupe akijuwa msala wa yeye kujiingiza sakata hili.
Team maalumu ya wataalamu ilisha muwekea mezan mbivu na mbichi ya swala hili.
Mbaya zaid mtu fulan mahali fulan anaweka gogo kwenye utawala wa mkuu ili aligonge wamcheke.
Ameshawajuwa take from me
unataka kusema rais anafanya kazi kinyume na katiba?Kumbukeni ata rais akimfukuza kwa kuvunja katiba bado rais ataendelea kuwa huru na wala atowajibika popote pale.
Sent using Jamii Forums mobile app