Tetesi: Rais kutozungumzia suala la CAG

Mkuu ushawahi soma kidogo mambo ya professionalism, Ethics and Conduct?Swala la Assad mnalijadili kisiasa ila wanaofanya maamuzi HAKUNA SIASA HAPO.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Mamlaka hayo yeye kama yeye hana, ni lazima iundwe tume na mchakato waake ni mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupotosha watu wewe.Kamati inaundwa na Rais,kwa akili ya kawaida Rais kama hamtaki CAG anashindwa nini kuunda kamati tiifu kwake?Huo mchakato mrefu ni mchakato gani?Mfano swala la utovu wa maadili ya uongozi, unataka kusema kupata ukweli wake unachukua mwaka?Rais akihamua huyo Assad hata mwezi hamalizi ofisini. Kasome katiba vizuri.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Kumbe raisí ana tèam ya wåtaålam?
 
acha hizo, kama huujui ukaguzi na uhasibu kaa kimya watu wasianze kuhoji kiwango chako cha elimu au ufikiri wako. kauli ya CAG imetolewa kitaalamu kulingana na taaluma ya ukaguzi , tatizo kauli hiyo ilipogeuzwa ya kisiasa ndio tunaona kisanga hicho.
Mkuu achana ni hii nyumbu kuijibu tunakuwa tunaipa heshima isiyostahili kabisa!!
 
acha hizo, kama huujui ukaguzi na uhasibu kaa kimya watu wasianze kuhoji kiwango chako cha elimu au ufikiri wako. kauli ya CAG imetolewa kitaalamu kulingana na taaluma ya ukaguzi , tatizo kauli hiyo ilipogeuzwa ya kisiasa ndio tunaona kisanga hicho.
Kauli ya CAG aliitoa akiwa anawasilisha report gani?Kuna uhusiano wwt wa kusema Bunge ni dhaifu na Yaliyomo ndani ya report kwamba tuseme ni kauli ya kitaalam?NYEUSI IWE NYEUSI.Kimaadili ya viongoz CAG hachomoki hata kdg lkn nje ya maadili ni kweli Bunge ni dhaifu. Tutofautishe FACTS NA MAADILI. CAG kaongea ukweli mtupu lkn kimaadili hayuko SAHIHI na hapo ndio atakapoliwa kichwa. Hata uwe mtaalam kiasi gani lkn ktk mambo ya uongoz na sehem zingine kunakuwa nan seminar elekezi ni jinsi gani viongoz wawasiliane na jinsi gani wawasilishe kero au matatizo yao kati yao wenyewe na wananchi. Swala la maadili ni pana, waliosoma professionalism, Ethics and Conduct nafikiri wanaelewa ttz la CAG liko wapi ila hawa wanasiasa huenda wanajua ila wameamua liwe kisiasa.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Kwa taarifa inaundwa kamati ya kijaji kupitia hilo sakata, na ni lazima wawepo majaji mpaka watatu toka nje. Hapo ndio kikwazo kilipo. Hawa majaji wetu wanaogopa watu wasiojulikana, hao wa nje itakuwa shida.
 
Wewe nae uko kundi la Wasomi? Hizi St na hivi vyuo vya kata vimezalisha vijana wa hovyo mno!! Likishaandika kiingereza linaona linajua!!Kihongwe mkubwa wewe. Wapi CAG kavuka mipaka, katiba iko wazi na inaeleza kazi za CAG ni wapi na ulete kifungu cha katiba kinachooonyesha CAG amevuka mipaka yake!! Kazi ya huyu mtu pamoja na upatiakanaji wake umeelezwa kwenye Katiba nenda kwenye katiba tuonyeshe alikovuka mipaka yake ya kazi!!! Hivi vyuo vya kata na hizi Academy nazilaumu maisha yangu yote.
 
punguza mihemuko ... sema AKIAMUA na sio AKIHAMUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…