Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo.