Sasa kama unamjua kuwa mtu ni mnafiki unamuombeaje apewe shavu?Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo...
Yule tayari yupo kwenye payroll ya ccmZito anafaa
Asiwateue. Ni wasaka tonge tu. Acha wapiganie kama wengine. Kama utawateua wawekee sharti la kurejea CCM.Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo...
Mnyika anaendeshwa sana mihemko labda Zitto pamoja na unafiki wake ni kama saa mbovu kuna wakati inasema kweli.Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo...
Mnafiki alipogeuka wakili!Sasa kama unamjua kuwa mtu ni mnafiki unamuombeaje apewe shavu?
Hawataki Fadhila wanataka ground ya Siasa iwe Sawa kila mtu aoneshe uwezo wake huo ujinga wakuteuana ni LumumbaMh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo...
Naunga mkono hoja ,ila nafasi 10 bado ngapi zimesalia? Maana JIWE alishatumia hizo nafasi kwa kina polepole,gwajima etcMh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo...
unajiombeaMh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo...
Naona unaongea huku unatetemekaMnafiki alipogeuka wakili!
Sasa kama unamjua kuwa mtu ni mnafiki unamuombeaje apewe shavu?
Sasa bila unafiki sawa na gari bila Dereva.Sasa kama unamjua kuwa mtu ni mnafiki unamuombeaje apewe shavu?
Sawa kiongoziSasa bila unafiki sawa na gari bila Dereva.
Tuludie kusikia mipayukopayuko tena kipindi hikiii??? Tena raisi wanguu asisubutu kabisaaa. Majimbo yenyewe walikogaragazwa bado wanashangilia, halafu eti wapewe ubunge?? Kwa yepi mazuri waliyonayo juu ya taifa letuu??Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa Zitto lakini kwa umahiri wake anaweza akasaidia nchi kinafikinafiki hivyo hivyo...
Turudie siyo Tuludie!!Tuludie kusikia mipayukopayuko tena kipindi hikiii??? Tena raisi wanguu asisubutu kabisaaa. Majimbo yenyewe walikogaragazwa bado wanashangilia, halafu eti wapewe ubunge?? Kwa yepi mazuri waliyonayo juu ya taifa letuu??