Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Rais wa Belarus imebidi aingilie kati kumsadia Putin kuongea na Kiongozi wa Wagner kumsihi asiende kuishambulia Russia.
Kiongozi wa Wagner amekutana na Yevegny Prigozhin kumwomba asiwafaidishe Wamagharibu na kumtaka asielekee Moscow kumwondoa Putin. Rais huyu wa Belarus inaonekana ameombwa na Putin ajaribu kulimaliza jambo hili kidiplomasia.
Binafsi nilitamani sana hawa Wagner waende Russia wakapate kichapo kibaya sana. Wakati huo huo Putin alikuwa ameongea na wanajeshi wa Chachan waende nao kumpiga tough aepukane na uhuni wa hawa Wagner.