Rais Magufui, nakuomba kwa heahima na taadhima siku nyingine Simba ikicheza tazama hiyo mechi ikulu

jd41

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,756
Reaction score
4,847
Ikiwa kila unapohudhuria mechi ya Simba SC pale uwanja wa Taifa lazima tupoteze, na wewe ukiwa ni mpenzi namba moja wa michezo nchini, hasa mpira wa miguu, nakuomba kwa heahima na taadhima siku nyingine Simba ikicheza tazama hiyo mevhi ikulu.

Ulianza kutazama mechi ya Simba dhidi ya Kagera Sugar tukapoteza, licha ya kuwa hatukuwahi kufungwa toka ligi ianze hapo kabla, ila siku uliyofika pale uwanjani tukapokea kipigo cha kwanza.

Leo tena tumefungwa na timu inayoongoza kwa kutoa sare, hii hali haieleweki. Nakuomba tu uwe unawasha TV hapo ikulu, ukae na familia yako, mfurahie mpira kuliko kwenda uwanjani kwenye makelele mengi, yanayoweza kukusababishia maumivu ya kichwa.

Na ukiwa na majukumu mazito ya kusogeza gurudumu la maendeleo ya nchi yetu mbele, nisingependa upate maumivu ya kichwa, kwasababu kichwa ndio halmashauri ya kila kiungo mwilini.

N.B: Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani, basi tuwaache wanawake washerehekee siku yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia kuna mwali kaolewa leo kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Turudi kwenye mada, hivi mechi ya Simba vs JKT Tanzania raisi alikuwepo uwanjani Simba ilipopoteza? Kwanini sababu zilizopelekea kupoteza ile isiwe ni sababu zile zile za leo kupoteza mechi pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadeki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anapokuwepo uwanjani, marefa wanaogopa kupindisha Sheria za Soka sababu ya kuogopa kutumbuliwa, ndio maana waamuzi wanachezesha mechi vizuri kwa kufuata Sheria za Soka.

Angekua anaingia mechi za Simba, nadhani timu ingekua inapambana kutokushuka daraja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia kuna mwali kaolewa leo kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Turudi kwenye mada, hivi mechi ya Simba vs JKT Tanzania raisi alikuwepo uwanjani Simba ilipopoteza? Kwanini sababu zilizopelekea kupoteza ile isiwe ni sababu zile zile za leo kupoteza mechi pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile mechi ya JKT mwamuzi alikataa goli halali la yule kiungo mbrazil, akadai offside!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anapokuwepo uwanjani, marefa wanaogopa kupindisha Sheria za Soka sababu ya kuogopa kutumbuliwa, ndio maana waamuzi wanachezesha mechi vizuri kwa kufuata Sheria za Soka.

Angekua anaingia mechi za Simba, nadhani timu ingekua inapambana kutokushuka daraja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Refa akiwaumiza Simba huwa hatuongei, coz hatuna midomo kama yenu, ila akiwaumiza kandambili mpk Rais wa FIFA Uswisi huwa anasikia kelele zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Protocal wamechemka sana kumvalisha Amiri jeshi Mkuu jezi yenye matangazo ya Sport pesa

Hili si kosa dogo hata kwenye mizania ya kibiashara kwa washindan wa Sportpesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa kila unapohudhuria mechi ya Simba SC pale uwanja wa Taifa lazima tupoteze, na wewe ukiwa ni mpenzi namba moja wa michezo nchini, hasa mpira wa miguu, nakuomba kwa heahima na taadhima siku nyingine Simba ikicheza tazama hiyo mevhi ikulu.

Ulianza kutazama mechi ya Simba dhidi ya Kagera Sugar tukapoteza, licha ya kuwa hatukuwahi kufungwa toka ligi ianze hapo kabla, ila siku uliyofika pale uwanjani tukapokea kipigo cha kwanza.

Leo tena tumefungwa na timu inayoongoza kwa kutoa sare, hii hali haieleweki. Nakuomba tu uwe unawasha TV hapo ikulu, ukae na familia yako, mfurahie mpira kuliko kwenda uwanjani kwenye makelele mengi, yanayoweza kukusababishia maumivu ya kichwa.

Na ukiwa na majukumu mazito ya kusogeza gurudumu la maendeleo ya nchi yetu mbele, nisingependa upate maumivu ya kichwa, kwasababu kichwa ndio halmashauri ya kila kiungo mwilini.

N.B: Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani, basi tuwaache wanawake washerehekee siku yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooooo!
 
Hivi wewe mkia unajielewa kweli na unaelewa historia ya timu yenu.

Kwa msaada Soma hapa harafu utuambia Nani Kati ya Simba na Yanga Ni King au Queen.
Tazama hapa chini historia ya Simba sc.
 
We kibuyu una habari hukumfunga Simba miaka minne?!

Kandambili ni Queen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumtia gundu rais wangu kipenzi.. Nyie mikia hamna kiwango cha kucheza na Mabingwa wa kihistoria na leo ndo tumeudhihirisha umma kuwa hamtuwezi.. Performance zero ety unataka ushinde, fyuuuuuu..! Hata draw usiifikirie.. Tutawazamisha kila kukicha na point 3 tunawaachia maana mnapenda sana point.. Chukueni hizo 3 si wetu ni ushindi tu
 
tuache fikra potofu mechi ya kagera alialikwa na simba wenyewe ili akawakabidhi kombe, ile ya jana kaenda kama shabiki na yeye ana haki ya kuingia uwanjan kama mashabiki wengine hayo mambo ya kufungwa ni uzembe wa timu ww haiwezekan unaruhusu ushambuliwe dk 90 zote alaf ufungwe umaingizie Jpm huo ni upunguani
 
Anapokuwepo uwanjani, marefa wanaogopa kupindisha Sheria za Soka sababu ya kuogopa kutumbuliwa, ndio maana waamuzi wanachezesha mechi vizuri kwa kufuata Sheria za Soka.

Angekua anaingia mechi za Simba, nadhani timu ingekua inapambana kutokushuka daraja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said.
 
Back
Top Bottom