Nenda jimboni kwake alikoliwakilisha mbungeni kwa zaidi ya miaka 10, utupe mrejesho. Kama Wakili, pitia orodha ya kesi alizozisimamia ngapi kashinda. Waulize wanachama wa TLS alipokuwa Rais wao kaacha lipi la kukumbukwa, nk.Bado naamini lissu Ni bora kuliko Jpm..
Ni hatari kwa kweliYaani kwenda kujisaidia kwa mkurugenzi na mkuu wa wilaya ndio solution iliyotolewa na mkuu wa nchi na majitu yanashangilia ,kiti cha rais kinadhalilishwa kweli
Hata Masasi tumepaona palivo. Lami tu wamekuja kuwekewa na JPM. Sasa unasema je kuhusu Mkapa kuwa mbunge wa pale kwa miaka 15 alafu akaja kuwa Raisi????Nenda jimboni kwake alikoliwakilisha mbungeni kwa zaidi ya miaka 10, utupe mrejesho. Kama Wakili, pitia orodha ya kesi alizozisimamia ngapi kashinda. Waulize wanachama wa TLS alipokuwa Rais wao kaacha lipi la kukumbukwa, nk.
Ni upumbavu wao tu! Choo cha stand? Na ushuru mnakusanya?Hah Hah siasa haihitaji hasira, ndiyo tatizo la kukosa mfumo kila kitu wateuliwa kama ma-RC, DC, DED hawajiamini kutoa maamuzi wanasubiri Mh. Rais atatue. Hili pia lipo ktk mhimili wa Bunge ambapo wabunge wa CCM wanashindwa kuiwajibisha serikali wanawaachia mawaziri watoe maswali na majibu kwa niaba ya wabunge wa CCM.
Uchaguzi wa Oktoba 28 , 2020 wagombea wa CCM watakuwa wapweke hakuna wa kuwabeba kutoka mhimili wa serikali kuu (dola) wala spika kuwalinda dhidi ya maamuzi magumu ya wananchi kuchagua wabunge kutoka upinzani wenye uwezo wa kusema kwa niaba ya wananchi na kuibana serikali ili iweze kuamka toka usingizini ipate kuwajibika.
Itakuwa ni moja ya sababu. Ukijumlisha na yale mawe ya JK Jana msibani?, kweli ni hatari tupu!Hayuko sawa kichwani alafu kapanic sn hasa baada ya Lissu kulakiwa na maelfu ya watz lkn zaidi hotuba ya Kikwete imemshusha sn sn.........
Mchague sasa kwani unekatazwa?Bado naamini lissu Ni bora kuliko Jpm..
Nguvu ipi? Alafu busara ipi unayoongelea wewe? Unajua shida wanayopata hao wananchi kuwa na stand isiyo na choo?Busara na Hekima ni bora sana..
Kuna kitu cha kujifunza hasa kuanzia juzi,jana na leo hii.Unapata wapi nguvu kama hii?
Hata nyumbu wenzio watakushangaa kukomalia kitu ambacho kinajulikana ni utani,!Huyu mtu nahisi kuna muda dishi huwa linacheza. Hivi kikawaida tu kwa mtu Mwenye akili nani anaweza tamka hadharani au hata kufikiria kumpelekea mama yake mzazi mwanaume??
Siko huko uliko wewe.Kuwa mtulivu utanielewa.Hata nilipo tunapata tabu sana na Rais ameshapita mara nyingi tu sijawahi ona mbadiliko yoyote yale.Nguvu ipi? Alafu busara ipi unayoongelea wewe? Unajua shida wanayopata hao wananchi kuwa na stand isiyo na choo?
Hizi busara unazotka wewe ni zipi?
Duh.., hivi unaelewa hata kinachoendelea kweli? Kwamba oktoba utamuona JK yuko jukwani anampigia kampeni Magufuli na mwisho wa siku huyo Lisu wako atapigwa chini?Hayuko sawa kichwani alafu kapanic sn hasa baada ya Lissu kulakiwa na maelfu ya watz lkn zaidi hotuba ya Kikwete imemshusha sn sn.........
Aliposema ndani ya siku saba choo kijengwe hujapaona?Yaani kwenda kujisaidia kwa mkurugenzi na mkuu wa wilaya ndio solution iliyotolewa na mkuu wa nchi na majitu yanashangilia ,kiti cha rais kinadhalilishwa kweli
Utani kusema hadhalani kumtafutia mama yako mzazi mwanaume???? Hapana aisee. Lumumba mmezidi kutetea ujinga wa huyo mtu wenu.Hata nyumbu wenzio watakushangaa kukomalia kitu ambacho kinajulikana ni utani,!
Ukiwa na akili za panzi kama zako huwezi kuelewa alichomaanisha MagufuliYaani kwenda kujisaidia kwa mkurugenzi na mkuu wa wilaya ndio solution iliyotolewa na mkuu wa nchi na majitu yanashangilia ,kiti cha rais kinadhalilishwa kweli
Hata wakipelekwa kwenye programu hiyo haitasaidia...viongozi wengi walioteuliwa hawana ABC za uongoziMagufuli hana viongozi,ajipange upya labda awapeleke crush program ya miezi mitatu mitatu ndio wapewe majukumu.
Mbona kama maamuzi ya hasira sana?Mara gari ya DED igeuzwe ambulance,huku tena watu wakajisaidie kwa DC, aisee
Ndio maana nikasema hata nyumbu wenzio watakushangaa kukomaa na kitu useless kama hicho,Utani kusema hadhalani kumtafutia mama yako mzazi mwanaume???? Hapana aisee. Lumumba mmezidi kutetea ujinga wa huyo mtu wenu.
Kwa mambo yanavyoenda watanzania wote tutajua udhaifu wake kuwa hayuko sawa kiakili. Mambo mengine kaeni kimya tu
Viongozi wengi wa Chadema/Upinzani wanajua sana siasa za majukwaani lakini kwenye vitendo wengi ni zero including LissuNenda jimboni kwake alikoliwakilisha mbungeni kwa zaidi ya miaka 10, utupe mrejesho. Kama Wakili, pitia orodha ya kesi alizozisimamia ngapi kashinda. Waulize wanachama wa TLS alipokuwa Rais wao kaacha lipi la kukumbukwa, nk.
Usiku mwema nduguNdio maana nikasema hata nyumbu wenzio watakushangaa kukomaa na kitu useless kama hicho,
Wewe utakuwa Mkenya mmezoea ukabila mambo kama haya hujui,,
Wenye akili wanajua ule ukikuwa ni utani tena, lakini wenye vichwa vya panzi mtataka hiyo iwe hoja ya kujadili wiki nzima na kusahau hata kwamba mnatakiwa kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ili angalau muambulie viti viwili vitatu vya ubunge