Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

Shida ya maCCM yalizoea kufanya kazi kwa mazoea na kukariri…….sasa amekuja mtu hataki mzaha…….wanashindwa kujiongeza……..
 
Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mkuu wa NEC anaweza
Na akimuarisha hili kinyume cha Katiba tukaharalisha, huko mbeleni akimualisha lingine lisilonuifaisha tusisema kavunja Katiba.
 
Hakuna ushahidi kwamba CCM wamekataa huo utaratibu.
NEC waite vyama vyote wakubaliane kama ni siri au Uwazi. NEC hawajatangaza utaratibu, utasemaje CCM wameukataa
 
Sasa huyo yesu wa lugola hasikii vilio vyetu Watanzania!? Mbona anapiga kimya tu? 😳



Hakuna ushahidi kwamba CCM wamekataa huo utaratibu.
NEC waite vyama vyote wakubaliane kama ni siri au Uwazi. NEC hawajatangaza utaratibu, utasemaje CCM wameukataa
 
Hapo tu ndipo Magu ananifurahisha! Mke wa DC lazima ahame nyumba!

Sasa Mh Rais tukigonga nyumba ikawa hamna mtu ndani tufanyeje? Ungewaambia watowe copy ufunguo wa nyumba wamkabidhi mkuu wa soko tupate kuingia hata kama wakiwa hawapo
 
Ni udhalilishaji wa viongozi kwa wananchi na matokeo yake wananchi sasahivi wanawadharau sana viongozi wa mikoa na wilaya
 
Duh.., hivi unaelewa hata kinachoendelea kweli? Kwamba oktoba utamuona JK yuko jukwani anampigia kampeni Magufuli na mwisho wa siku huyo Lisu wako atapigwa chini?
Hujui ulichoandika kaa kimya subiri tarehe
 
Ama kweli chizi haponi kichaa chake isipokuwa hutulia kwa muda kutokana mabadiliko ya mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…