Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

Kwann RAIS AHUTUBIE KANISANI AU MSIKITINI? HANA IKULU AMBAKO NI NEUTRAL GROUND?
Bado akili yangu inakataa na hapa wazi ataonekana mdini. SUALA LA KUSALI NI LAKE BINAFSI ASIINGIZE KUWA LA WATZ WOTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Kwani mule kanisani walikuwemo mbuzi? Nini maana ya hotuba ile kurushwa kwenye vyombo vya habari, kwani ibada za makanisa yote hupewa coverage ya vile? Magufuli ni Mluteri? Kama hakuhutubia TAIFA mbona na wewe usiye Mluteri umesikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasikia, nimesoma kwenye MEDIA tena UHURU.
angezungumza MBOWE tena kwenye dini yake ya lutheran CHAKUBANGA angeibuka na kumtaka mchungaji kuchagua DINI AMA SIASA, sijui MATAGA mnafeli wapi?huwa mnafikiri kwa kutumia "masaburi"
 
Ndugai anajua boss wake anapenda maamuzi.ya "ukichaa kichaa" hivyo kauli zake zinapita humo humo kwenye reli . Zile bilioni 12 za India lazima zimfanye mateka wa bosi wake. Hana jinsi.
 
Acheni mawazo mgando, hakuna mipaka ya mkuu wa nchi kuwa na mahali maalum pa kuongelea.

Sehemu yoyote anayoweza kuongea kile anachokisema ni maelekezo kwa walengwa wa kitakachosemwa.
 
Umepotoka kidogo ndugu yangu, na unachofikiria kichwani kwako, kinyume chake ndiyo sahihi. JPM angeongea kuhusu mwelekeo wa ugonjwa kuisha akiwa nje ya Madhabahu ya Mungu, ingekuwa ni technical mistake kwa sababu tangu mwanzo, swala hili alimkabidhi Mungu. Ingekuwa kitu cha ajabu sana kwamba swala ulimkabidhi Mungu na amekujibu sawasawa na maombi yako, halafu unamsahau tena unatoka na kwenda kutangaza majibu ya Mungu kupitia jukwaa la Siasa, badala ya nyumbani mwake. JPM amefanya kitu ambacho ni SUPERB, na sina shaka kabisa hapa kuwa ni Roho Mtakatifu alimuongoza hivyo, kwenda kutangaza matokeo ya utendaji wake ndani ya nyumba yake, Kanisani mbele ya madhabahu ya Mungu na mbele ya watumishi wa Mungu.Hii ni credit kubwa sana na ya pekee mno kiroho, na Mungu atambariki sana tena kwa kitendo hicho.

Vinginevyo kama angefanya tofauti, kuna uwezekano ugonjwa huu ungerudi tena, kwa sababu ingeonekana kuwa anamsahau Mungu pindi anapokuwa amemjibu maombi yake, na kukumbuka Siasa pekee. Halafu huyo mama aliyenaye, inaonekana ana hekima ya Mungu sana na Mungu anampenda sana, Mungu azidi kumbariki sana huyu mama. Kuna watu ambao naturally ni rafiki zake na Mungu, na huyu anaonekana kabisa kuwa yuko kwenye mkondo huo wa marafiki zake na Mungu

Kitu kingine kizuri zaidi ni kwamba amemkumbuka Mungu kwa kutoa sadaka ya Shukrani Kanisani.

Mimi tayari nimeshasema humu jukwaani kwamba watu wanaomuomba Mungu anawajibu, halafu akishawajibu badala ya kumrudishia shukrani, wanaanza kusifia mafuta ya upako badaa ya Roho wa Mungu, mtakuja kuona tu huko mbele matokeo yake. Roho Mtakatifu siyo mjinga, afanye kazi yeye halafu yasifiwe mafuta ya upako. Mtakuja kuona tu huko mbele kama huu mtindo utaendelea. first warning tayari ameshatoa, subirini
 
Sijaona mantiki ya kuongea mambo ya taifa kanisani.

Na nimeshangaa hata hiyo kanisa kutumika kisiasa ,makonda pia amekuwa akifanya hivyo.

Je siku nyingine ataenda kutoa hotuba pia msikitini ?
 
Hoja hapa ni Wakati Mbowe alipokuwa analihutubia Taifa Magufuli alikuwa akilihadithia Kanisa unakubaliana na mimi?
Mbowe yupo right siku zote,na mngekuwa na uwezo wa kumpa umalaika mlishafanya kitambo ila sishangai alivyokuja Edo mlimsifu na kumpamba akuwa tena fisadi alivyofika kwenu.

Nyinyi ni zaidi ya chama cha siasa mmejivisha u mungu,unabii na u malaika pia.
 
Tbc nayo imekuwa redio ya dini ,wanapiga kwaya na kaswida pamoja,je hamna dini zingine,wanashindwa hata kuonyesha documentary za hizi taifa kama hawana vipindi vya kurusha
 
Yesu aliwatoroka wazazi wake, aliingia hekaluni, akakuta mafarisayo wanafanya BIASHARAAKAPINDUA MEZA ZAO NA KUWAFURUSHA, akawaambia IMEANDIKWA NYUMBA YA BABA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NA SI PANGO LA WANYANGANYI!

**************
Mfano wako is so irrelevant aisee. Magufuli alienda na Machungwa au matikiti mpe kanisan?

Magufuli ni Rais wa nchi anaweza kuhutubia taifa hata kwenye hafla ya chakula cha jioni. Acheni kukariri.

Na mwisho kabisa ni pale Manapo mfananisha Magufuli na Mbowe.

Hizi akili mnazitoaga wapi sijui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyombo vya habari vilitulazimisha kumuangali yeye tu HUKO MADHABAHU YA KKKT, wewe kupitia TBC ulikuwa unampata GWAJI-BOY mzee wa TOTOZ?
kipindi anazindua msikiti wa kinondoni unakumbuka hali ilikuwaje,au upweke unakisumbua mama angu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…