Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Yupo. Asingeondoka maana walimtengenezea kesi ya kubumba Kisutu. Pia mkataba wake ulikua haujaisha hadi Disemba. Haikua rahisi kuondoka.Hajaondoka tu nchini?
Mifumo yote ya mafuta na gesi hii nchi na geology yake ina mkono wa huyo jamaa. Ni akili kubwa maana alikua anafanya kazi kwenye makampuni makubwa Duniani.Brain gani, acha hiyo habari
Msechu hapana sikuona umuhimu wake kwa watz wa kawaida.Amrudishe na Dada Wa TIC Kairuki na Mafuru pia bila kumsahau Msechu.
Hao mapengo yao yanaonekana
Mizuka, mihemuko na majungu yametawala awamu hii, ni ngumu sana kufanya kazi / biashara n.k kwa kutumia utaalamu / uzoefu wako lazima wanaojiita 'wazalendo' wakuangushe.
Enzi hizo Magugupori anafukuza tu kila Mkurugenzi asiyempenda, kila Mkurugenzi asiyetoka Kanda ya Ziwa au asiye Msukuma, kila Mteule wa Kikwete... now the wranglings within his corrupt political party have brought him to his knees and he is made to swallow his own bitter pills!Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio. Mwaka 2016, BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ilimsimamisha kazi Dr. Mataragio na Wakurugenzi wengine wanne ili kupisha uchunguzi wa matumizi mabaya ya ofisi.
View attachment 1159795
Mkurugenzi mtendaji TPDC, Dkt. Mataragio asimamishwa kazi
Kuna tetesi nimezipata kwamba Wakurugenzi wanne TPDC akiwemo MD wamesimamishwa na body ya wakurugenzi kupisha Uchunguzi wa Ufisadi kwenye moja ya manunuzi. Hii imetokea kwenye kikao kilichofanyika jana jioni na leo wameamriwa by saa mbili asubuhi wawe wamekabidhi ofisi BODI ya Wakurugenzi ya...www.jamiiforums.com
Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
Viongozi 5 wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), wamefikishwa katika mahakama ya Kisutu, wakikabiliwa na shitaka la matumizi mabaya ya madaraka. Vigogo watano wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, James Mataragio, wamepandishwa...www.jamiiforums.com
Mnachonifurahishaga ni kupongeza kila uamuzi wa Magugupori...wakati ule Dr. Mataragio amesimamishwa kazi mlishangilia, na leo anarudi kazini mnashangilia pia😅😅I am so happy. Tulikua tunapoteza hii brain kwa sababu za kijinga kabisa.
Bodi ya mhongo ilikua ya kipumbavu kabisa.
Hivi unamuachaje Dr. Mataragio nje ya mambo ya gesi na mafuta?
Dokta kapige kazi. Uadilifu wako umeonekana baada ya yote.
Si yule alikuwa kajikadiria mshahara,posho etc?MY TAKE ON THIS: Why I feel sorry for new TPDC boss
Wednesday December 24 2014
>His CV speaks volumes. Many people who read his resume when President Jakaya Kikwete announced that he has appointed Dr James Mataragio to become the new director general for Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) agreed that the post has got a competent person. There is no doubt about that.
BY Peter Nyanje
IN SUMMARY
If we continue running our affairs the way we have been doing, Dr Mataragio will not be the last professional to be frustrated by the way things are run in Tanzania.
Advertisement
His CV speaks volumes. Many people who read his resume when President Jakaya Kikwete announced that he has appointed Dr James Mataragio to become the new director general for Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) agreed that the post has got a competent person. There is no doubt about that.
The fact that a big multinational company in the name of Bell Geospace, based in Houston, US, has trusted this man to work in one of its departments, is testimony to the competency of this Tanzanian.
The fact that Dr Mataragio has been, free of charge, advising the government on the area of oil and gas shows that he is a Tanzanian who loves his country. There is no doubt that Dr Mataragio will come back and dedicate his time and professionalism to serve his country. But, will the country allow him space to work professionally?
Dr Mataragio will not be the first able and competent Tanzanian to leave his lucrative employment abroad and come home to serve his country. But I am also sure that if we continue running our affairs the way we have been doing, Dr Mataragio will not be the last professional to be frustrated by the way things are run in Tanzania.
When Dr Mataragio’s appointment was announced, I recalled a number of names of people who were doing better elsewhere but were failed when they decided to come back home and dedicate their energy for their country.
And this is not in the technocrats level only. We have such examples even at the upper executive levels. Before he became an MP and minister, Lawrence Masha was among Tanzanians who had done wonders in the US. But he did not last when he was appointed a minister. Prof Sospeter Muhongo is a worldly renowned geologist. He is known all over the world for his acumen in the area. But look at what has happened to him when he accepted a post in President Kikwete’s Cabinet. Prof Anna Tibaijuka is known all over the world for what she did when serving at UN Habitat. But today Prof Tibaijuka is traversing conference rooms addressing reporters in a bid to exonerate herself from a scandal.
Dr Asha Rose Migiro has not entered the black books yet but I can bet that it is just a matter of time before we start reading her name all for the wrong reasons. I think she has survived this far because she has decided to keep low profile on what she does. Besides, she is not heading one of controversial ministries. All these people did not fail because they are incompetent.
And Dr Mataragio has been handed a public corporation which is in the limelight. Gas is not only the talk of the country, it is a global agenda. He will soon become a centre of attention.
It is just a matter of time before Dr Mataragio finds himself in a quagmire with global and local forces pulling and pushing. Unfortunately, given our governance and administration systems, these forces are all but politics.
Soon Dr Mataragio will find himself in an awkward position as he will be compelled to make decisions basing on what politics wants and what his profession requires him to act. If Dr Mataragio believes that he will be a man in charge of TPDC, he will soon realise that there are other forces which call the shots at the corporation.
My problem now is how soon are we going to hear and read about Dr Mataragio’s incompetence? That is why I feel sorry for him.
MORE FROM THE CITIZEN
Si
Ni hivi, dkt matarajio aliletwa nchini na JK, baada ya kina muhongo kusema kuna mchapakazi namfahamu yupo U.S.A!
Kijana wa watu alitoa tender kwenye kampuni ambayo alikuwa anawajua wapo vizuri kwa kazi, na kwa bei ndogo!
Alikataa tender ya waliokuwa wamependekeza, akasema anawajua hawana utaalamu huo, na bei zao zilikuwa juu! Kama kawaida ya mibongo, ilivyoona kakataa, ikaunda jungu kuwa kapatia kampuni tenda kinyume na sheria za PPRA!
Kijana wa kwetu majimoto MARA yakamkuta! Ila hana hamu nao!
Alifukuzwa na bodi ya wakurugenzi ilikuwa chini ya mwenyekiti profesa SufianEnzi hizo Magugupori anafukuza tu kila Mkurugunzi asiyempenda, kila Mkurugenzi asiyetoka Kanda ya Ziwa au asiye Msukuma, kila Mteule wa Kikwete... now the wranglings within his corrupt political party have brought him to his knees and now he is made to swallow his own bitter pills!
Eti akawapa hizo nafasi walimu wake wa chuo kikuu maprofesa wa majalalani ufanisi umekuwa takataka tupu!Amrudishe na Dada Wa TIC Kairuki na Mafuru pia bila kumsahau Msechu.
Hao mapengo yao yanaonekana
Nadhani JK hivi sasa atapumua! Manake kaenda SA kumchukua yule mama aliyekuwa TIC, kaja bwana Mkubwa kamtema! Huyu nae alimtoa kwenye kazi yake mzuri tu US, miaka miwili baadae, akakutana na fitina za wabongo!
Kwanza hapa JPM asijikoshe, na nimeona misukule yake hapa ikijifanya kusifia! Ni taasisi nyingi tu zilitajwa kufanya wrong doing na CAG, ni kwanini mkono wa sheria uliwakumba TPDC peke yake?! Tusisahau kwamba, ni huyu huyu JPM ndie alitangaza hadharani kwamba gas yote tumeibiwa, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa kufikishwa mahakamani kwa Matagilo kuna mkono wake! Yaani ni yale yale unasimama hadharani na kusema ana ushahidi kwamba polisi wale walikula rushwa na kusindikiza wezi wa dhahabu, 6 months later, yule yule aliyesema ana ushahidi, hatimae anatangaza polisi wale wale aliosema wamekula rushwa, hivi sasa waachiwe huru na kurudishwa kazini mara moja!
Moja ya silaha kubwa ya JPM inayo mfanikisha uongozi wake ni kutokuendesha uongozi wake kwa mazoea.
Alikabidhi passport kweli....takukuru walimkalia vibaya sana! Yani nilikuwa namuona mpaka nahuzunika!Sawa kabisa Mkuu na kampuni aliyoipa tenda ni ya Houston, Texas ambayo kabla ya kuja Tanzania alikuwa muajiriwa kwenye kampuni hiyo. Tetesi zinadai alitakiwa kukabidhi passport yake ili “asitoroke” nchini ila sijui kama bado yupo nchini au alishaondoka
Mambo ya watzn wa kawaida na biashara ni vitu viwili tofauti,kwani ndege zinazonunuliwa zinawalenga wanyonge au watanzaania wa kawaida?Msechu hapana sikuona umuhimu wake kwa watz wa kawaida.
Jiwe a.k.a Hawafu akakurupuka na Maguvu yake akamtengua Leo anamrudisha tena hata Muhongo nae atarudi tuMY TAKE ON THIS: Why I feel sorry for new TPDC boss
Wednesday December 24 2014
>His CV speaks volumes. Many people who read his resume when President Jakaya Kikwete announced that he has appointed Dr James Mataragio to become the new director general for Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) agreed that the post has got a competent person. There is no doubt about that.
BY Peter Nyanje
IN SUMMARY
If we continue running our affairs the way we have been doing, Dr Mataragio will not be the last professional to be frustrated by the way things are run in Tanzania.
Advertisement
His CV speaks volumes. Many people who read his resume when President Jakaya Kikwete announced that he has appointed Dr James Mataragio to become the new director general for Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) agreed that the post has got a competent person. There is no doubt about that.
The fact that a big multinational company in the name of Bell Geospace, based in Houston, US, has trusted this man to work in one of its departments, is testimony to the competency of this Tanzanian.
The fact that Dr Mataragio has been, free of charge, advising the government on the area of oil and gas shows that he is a Tanzanian who loves his country. There is no doubt that Dr Mataragio will come back and dedicate his time and professionalism to serve his country. But, will the country allow him space to work professionally?
Dr Mataragio will not be the first able and competent Tanzanian to leave his lucrative employment abroad and come home to serve his country. But I am also sure that if we continue running our affairs the way we have been doing, Dr Mataragio will not be the last professional to be frustrated by the way things are run in Tanzania.
When Dr Mataragio’s appointment was announced, I recalled a number of names of people who were doing better elsewhere but were failed when they decided to come back home and dedicate their energy for their country.
And this is not in the technocrats level only. We have such examples even at the upper executive levels. Before he became an MP and minister, Lawrence Masha was among Tanzanians who had done wonders in the US. But he did not last when he was appointed a minister. Prof Sospeter Muhongo is a worldly renowned geologist. He is known all over the world for his acumen in the area. But look at what has happened to him when he accepted a post in President Kikwete’s Cabinet. Prof Anna Tibaijuka is known all over the world for what she did when serving at UN Habitat. But today Prof Tibaijuka is traversing conference rooms addressing reporters in a bid to exonerate herself from a scandal.
Dr Asha Rose Migiro has not entered the black books yet but I can bet that it is just a matter of time before we start reading her name all for the wrong reasons. I think she has survived this far because she has decided to keep low profile on what she does. Besides, she is not heading one of controversial ministries. All these people did not fail because they are incompetent.
And Dr Mataragio has been handed a public corporation which is in the limelight. Gas is not only the talk of the country, it is a global agenda. He will soon become a centre of attention.
It is just a matter of time before Dr Mataragio finds himself in a quagmire with global and local forces pulling and pushing. Unfortunately, given our governance and administration systems, these forces are all but politics.
Soon Dr Mataragio will find himself in an awkward position as he will be compelled to make decisions basing on what politics wants and what his profession requires him to act. If Dr Mataragio believes that he will be a man in charge of TPDC, he will soon realise that there are other forces which call the shots at the corporation.
My problem now is how soon are we going to hear and read about Dr Mataragio’s incompetence? That is why I feel sorry for him.
MORE FROM THE CITIZEN
Alikabidhi passport kweli....takukuru walimkalia vibaya sana! Yani nilikuwa namuona mpaka nahuzunika!
Pale TPDC, gesi inayotoka mtwara na inatumika pale kinyerezi kwa tanesco, kinyerezi 1&2, its only 7%!
Niliposikia hii nilichoka, hivi stiglers bwana mkubwa aling' ang'ania ya nini?