Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio

Chief you said it all,Ccm and their cheap politics are our biggest enemies, look at Mchechu Nehemiah,look at that Man from Tanga I think Omary Nundu,there was another person at MNH emergency department, where is he? Hii ni nchi ya pekee under ccm
 
Akirudi atakuwa zuzu
 
Ningekuwa mimi namshukuru tu rais then sirudi
 
Definitely! This is dissapointing. He gave his heart, served to the best of his capability, yet his work ethics weren't appreciated. If it were me i wouldn't accept such position for the sake of my reputation.
 
Atakuwa amegundua ripoti ya makanikia ilikuwa ya ovyo sana, na pengine kwenye negotiations team walipwayasasa anatafuta wataalamu wa kweli.

Thats the only logic given the current issues.

Hakuna namna zaidi ya kufanya recycling tu.
Hahahahah! Mkuu kwenye riport ya makinikia tulitoa mpaka vyeti tena live,report yake inawezaje kuwa professorior rubbish ?
 
Mkuu iam so sorry kukuambia kuwa huyu mtu pamoja na kwamba ni rais wetu ukiwa na nafasi msikilize ila kati ya maneno kumi atayoongea chukua mawili mengine yaache hapo hapo otherwise njia pekee ya kuepukana nae ni kuangalia recorded football or tamthilia. Binafsi Mungu anisamehe sijawahi kumsikiliza live kwenye TV au kwenye clip za mitandaoni
 

Sheikh.. Ogopa sana Jamhuri ya Tunguli, Vifuu na Fitineri!
 
Hahahahah! Mkuu kwenye riport ya makinikia tulitoa mpaka vyeti tena live,report yake inawezaje kuwa professorior rubbish ?
Kwenye mabishano ya thamani ya shirika kati ya ACCACIA na Barrick kila mtu alikuja na geological data zake.

Report ya ACCACIA ndio iliochukuliwa kama Competent Persons Report na soko la hisa ukionekana kuwa realistic valuation na imeandaliws na independent body ndio maana Barrick ilibidi tu waongeze dau.

Sasa naona bwana mkubwa kama alionyeshwa hiyo na akilinganisha zile alizopewa na wataalamu atakuwa kaona tofauti zake ni mbingu na anga bora arudishe mtaalamu wa kweli (anyway this is just a theory).
 
Baada ya kupitia kila mstari na kila kila comment BA's nimeamini kuna watz wanajuwa vitu sana na kuongea waswas bila ushabiki naona swala LA Dr James limeguza kila mmoja naona hadi prase team naon wamechangia kwelikweli bila kujali. Am so excited kwa kweli
 
There was another Tanzanian Dr Ferdinand Masau who completed his studies in USA very successfully but his efforts to open his hospital for heart patients in the country were not successful, corrupt government officials were responsible for his failures. Due to frustration he passed away few years ago. Uzi wake humu Mkuu utafute Urania.

Definitely! This is dissapointing. He gave his heart, served to the best of his capability, yet his work ethics weren't appreciated. If it were me i wouldn't accept such position for the sake of my reputation.
 
Ila hajamuomba msamaha Lissu,au atakuwa kumuomba kimoyo moyo? siasa nyepesi zinaitesa sana nchi yenu.Naamini watu wasingemchukua Lissu kama msaliti badala yake wakaa mezani kujadiri why wewe unafikiri hivi na sisi tunafikiri hivi,we could have achieve something big
 
Ni yule wa Muhimbili,emergency dept ?
 
Inasikitisha sana Mkuu. Ukishaishi nje ya Tanzania tu ukirudi wanakutafutia kila namna ili wakupige mueleka wakati majizi na mafisadi yote yanaishi nchini na hakuna wa KUYAGUSA!

Sheikh.. Ogopa sana Jamhuri ya Tunguli, Vifuu na Fitineri!
 
Mie sijapendezewa alivyofanywa Lissu, lakini sikukubaliana na hoja zake. Hakuna kampuni inayoshiriki kwenye maswala ya natural resources na yenye mkataba wa kinyonyaji duniani inaweza kwenda mahakama inayofanya public hearing, why so? Kwa sababu huko ushahidi wa wizi utawekwa wazi kila mtu atajua details zote za mkataba in open court.

Ndio maana ACCACIA wakaenda arbitration hizi ni mahakama za dispute resolution (halafu ni private azitoi details za mkataba na wanaoingia ni wahusika tu) na mkataba wowote lazima uwe na maelezo jinsi ya kutatua dispute ndio maana nashangaa Zitto anavyosema hawa watu wanakwepa mahakama zetu.

Hakuna mwekezaji duniani ambae atoweka kipengele kinachoelezea jinsi neutral party itakavyohusika kutatua mgogoro.

Kwa ivyo mwisho wa siku this would still be the outcome, bila ya hata kumuumiza Lissu.
 
Mnachonifurahishaga ni kupongeza kila uamuzi wa Magugupori...wakati ule Dr. Mataragio amesimamishwa kazi mlishangilia, na leo anarudi kazini mnashangilia pia[emoji28][emoji28]
Wabongo ndy walivyo....
Wanakwambia jamaa ni akili kbwa.... [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
👆 Huu ndiyo ukweli alikuwa anakaa Houston na tumekaa naye Houston kwa miaka mingi. Kwenye biashara za mafuta ukiwa Houston utajua kampuni zote maana ni makao makuu ya Oil na Gas maybe Duniani kila kampuni inawafanyakazi wengi pale hivyo wanajuana sana pale kwenye hiyo industry. Ataisaidia sana TPDC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…