Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio

He is Magu man now he will stay
 
Kisa cha masau kinasikitisha sana!
Huyu alikuwa humiliated kbsa....

Ova
 
Mkuu, kwahiyo wehaujui kibantu...!!??
 
Mmmh.maofisa wakubwa tu kwani.wadogo hawaonewi? Apitie yote hata ya wafanyakazi hewa
 
Nchi hii bwana nchi ya ajabu sana watu wanaishi kideal deal ukiwa mkweli ukasimamia misingi ya ueledi wa kazi yako unachukiwa na kuundiwa zengwe. Huyu Dr. Mataragio kwa muda aliopotezewa angekuwa ameifikisha sekta ya gesi na mafuta mbali. ALL IN ALL EVERYONE DESERVES A SECOND CHANCE PIGA KAZI DR. MATARAGIO
 
That is your opinion. Where was he all this time? Who will be punish for this mistake? I am sure no one because they guy who is responsible for this messy is Mkoromije (Waziri wa Madini)


Aisee...Leo umeunga mkono juhudi za Rais. Safi sana
 
lost id,
Unafikiri baada ya yaliyo mkuta bado atakuwa na moyo ule ule katika kuitumikia hiyo nafasi ?
Hili ni swali zuri sana, na bila shaka hata yeye linampa wakati mgumu kulijibu.

Na je, akikataa? Watu wataanza kuweka 'spin' zao; kama, ooh, sio mzalendo; amekataa kutii heshima aliyofanyiwa na rais, na mengi mengine.
Lakini hao hao watakuwa wamesahau udhalilishaji aliofanyiwa. Hizi kazi za kuteuliwa zina maudhi yake. Kama mtu unayo nafasi yako 'stable' mahali fulani inafaa kuyaepuka...
 
lost id,
Unafikiri baada ya yaliyo mkuta bado atakuwa na moyo ule ule katika kuitumikia hiyo nafasi ?
Hili ni swali zuri sana, na bila shaka hata yeye linampa wakati mgumu kulijibu.

Na je, akikataa? Watu wataanza kuweka 'spin' zao; kama, ooh, sio mzalendo; amekataa kutii heshima ya wito aliyofanyiwa na rais, na mengi mengine.

Lakini hao hao watakuwa wamesahau udhalilishaji aliofanyiwa.

Hizi kazi za kuteuliwa zina maudhi yake. Kama mtu unayo nafasi yako 'stable' mahali fulani inafaa kuyaepuka...
 
Eti akawapa hizo nafasi walimu wake wa chuo kikuu maprofesa wa majalalani ufanisi umekuwa takataka tupu!
Mkuu chuki yako imezidi. Itakuuwa na magonjwa ya moyo.
TIC kapewa kijana mdogo tu ndugu Mwambe tena alikuwa na Masters wakati anapewa nafasi.
Ulikosa admission UDSM nini?
Au uliliwa kichwa UDSM?
 
I know what I am talking about, I don’t write anything here without concrete evidence.
Your right but gas issues tuliikimbilia bila upembuzi yakinifu tungeumia lets go for this wakati tunajipanga.
 
Mzee baba tunaomba turudishie na Mchechu basi maana project zetu za NHC zinasuasua sana sasa. Ubunifu umetoweka ghafla alipokaa kando Heavyweight ceo Nehemiah Kyando Mchechu.

Nadhani huyu ni mmoja wa wazalendo ma Ceo ambao wanaweza kuliendeleza shirika la NHC lililokuwa na mifumo ya Kijamaa sana kuanzia wafanyakazi mpaka Utendaji
 
Sheria za Manunuzi ya uma kwa namna moja zinaitafuna nchi sana. Yaani unakuta kigezo cha kijinga kinamuondoa lowest bidder kupata Tender.
Japo watu wa manunuzi watasema price doesn’t matter kwenye tendering, ila huwa inauma pale bidder X anapopata Tender kwa 20B ilihali kuna mwenzie ali quote kwa 15B. Ukiangalia katolewa vipi huyo wa 15B, eti hana valid business licence inayouzwa kwa laki 4 tu.!. Ndio maana private sector zitazidi kupiga faida. Maana hamnaga kutumia vigezo vya kujinyonga.
 
Hivi huyu jamaa ndiye husband wa deputy sub woofer? Any idea.
 
Fine ila ili kuwa fair watu wote walioondolewa kwenye nafasi zao kwa majungu na fitna akiwemo Mchechu warudishwe kwenye nafasi zao. NHC kabla ya Mchechu ilikuwa imedhoofu na kukonda ila baada ya ubunifu wake shirika likanona na fitna zikaanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…