Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio

KUNA UJUHA KAMA KUANDIKA USICHOKIJUA AMENUNULIWA UMEONJA HATA SENTI YAO WAKAKUJIBU WAMENUNULIWA
LOH
Kamongo katika ujuha wake. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuonyesha upumbavu wako hadharani.
 
Sikurupuki mie

Serikali ilipiga kimya kabisa kwa kukosa majibu. Serikali iliyojaa madhalimu

KUNA UJUHA KAMA KUANDIKA USICHOKIJUA AMENUNULIWA UMEONJA HATA SENTI YAO WAKAKUJIBU WAMENUNULIWA
LOH
 
Je hakukuwa na Taarifa kwamba miaka takribani 3 alikuwa hayupo kazini? ama mbadala wake ameshindwa kupatikana na ndo maana imeamriwa arudishwe kazini?
Aliondolewa ili uchunguzi ufanyike. sasa imebainika hana kosa tatizo liko wapi? au haujui tofauti ya kufutwa kazi na kupisha uchunguzi???
 
Ni huyu tu au watu wote waliowasumbua na makesi yao yasiyo na kichwa wala miguu nao watarudishwa kazini? Serikali inaingia hasara sana kwa kusimamisha kazi watu bila sababu ya msingi na kama ulisikia juzi Jaji Mkuu alikuwa akilalamika kwamna unamshika mtu kisha unamuweka ndani miaka mitatu mwisho wa siku mnasemea hana hatia na mshamvurugia mipango yake ya kimaisha kwa maneno ya kusikia yasiyo na ukweli.

Tuliaminishwa mabaya ya Tiagi Masamaki wa TRA lakini mwisho alishinda kesi na akalipwa mafao yake yote akaamua kujistaafu kupisha upepo mbaya, angali aleo TRA imekuwa kama daladala kial siku inabadilisha konda. Kila uchao unasikia kuna CEO mpya
 
Tatizo wala siyo aliyemleta wala aliyemrudisha kazini tatizo lipo kwenye mfumo wetu wa kuajiri na kuteua viongozi,Tukitaka maendeleo lazime tutengeneza mfumo wetu nikimaanisha katiba.
Hamna wa kumlaumu yeyote japo alifukuzwa 2016 na karudishwa 2019 tatizo ni sisi watanzania tunasherekea na kupiga vigelegele pale tunaposikia mwenzetu katumbuliwa bila kujiuliza sababu na kwa nini ?
 
I have never doubted you bro!
 
Reactions: BAK
Huyu haendeshi nchi hii kwa Mazoea, mtapats taabu sana paka kumuelewa.
Kwa mazoea kama yale ya kutengeneza tatizo halafu analitatua mwenyewe?! Pole sana, si ajabu wewe ndo ukapata shida zaidi na utawala wake kuliko mimi!!
 
Kiufupi pssf,nssf,nhc,tba etc wapewe mabosi wenye mind set za biashara na wenye exposure hao watoto wa wakulima sijui wanyonge wafanye kazi zisizo na impacts ya kuathiri uchumi
Usipozalisha matajiri maskini watapunguaje?
Usishangae ya ATCL inayofanya one of the most competitive business in the world lakini CEO wake ni Engineer ambae ana MBA ambayo hajawahi kuitumia tangia azaliwe na ndo amekuja kuanza kujifunza kuitumia ATCL!!
 
Duh!
Elimu yote na opportunity zote hizi unaacha kuja kutumikia nchi yako kinachokupata ni aibu.

Kwa mazoea kama yale ya kutengeneza tatizo halafu analitatua mwenyewe?! Pole sana, si ajabu wewe ndo ukapata shida zaidi na utawala wake kuliko mimi!!

Tatizo la kutomuelewa sinalo, nina muelewa vilivyo na hii ya tosha sana.
 
Aliondolewa ili uchunguzi ufanyike. sasa imebainika hana kosa tatizo liko wapi? au haujui tofauti ya kufutwa kazi na kupisha uchunguzi???
Lakini kama ni kweli kwanini imechukua miaka mitatu? Pili ni kwanini unavyosema wewe hapa ni tofauti na kauli ya Mheshimiwa Rais aliyoitua leo Ikulu wakati ana pokea Dhahabu na fedha kutoka Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…