SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Mmmhhhhh . . . .Kabisa kwa kiasi fulani japo si sana.
Vipi mzee wa RepublicanMmmhhhhh . . . .
Kila kitu yuko sahihi ...we cannot have our own radical opinion .Rais anamamlaka kikatiba.hata Kama wangekuwepo ma meya kutoka opposition,katiba inamruhusu kutoa maamizi ikiwa ni ya dharula,au maslahi mapana kwa taifa.hivyo yuko sahh. ilala kuwa ni jiji nikwa maslahi mapana kwa mkoa wa dar.na viunga vyake.
Mama arudishe jiji la DarHizi sarakasi ngoja tuone mwisho wake, Chanika ni Jiji, Mwenge, mikocheni, Masaki, Oysterbay ni Manispaa!
Hii move ina malengo fulani ya hovyo sana lakini mahesabu yake wameyakosea mno!
Mbona kama inarudi kimya kimya !Mama arudishe jiji la Dar
Kibaha ni nchi ya jiraniHuu uzi n wa huku kweli[emoji848][emoji848]
East or west , home is the best , tupapende home wadauKibaha ni nchi ya jirani
Na daresalama n kisiwa chakeKibaha ni nchi ya jirani
watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha
Ni wazo zuri. Kisarawe iwe Ilala na Maneromango iamie kuwa makao makuu ya Wilaya ya KisaraweHabari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani
Ni kweli kabisaHabari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani
Kuigawa gawa nchi haina faida,ni upotezaji wa rasilimali ambazo zingeweza kutumika vzr zaidi,Habari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani
watu watoke ikwiriri hadi chalinze?Habari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani
Hahaha watu hawaelewi kuwa Mkoa wa Dar umezungukwa pande zote za ardhini na mkoa wa Pwani, upande mwingine ni bahari tuwatu watoke ikwiriri hadi chalinze?