Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Wauza unga maarufu duniani ni wakatoliki wakiongozwa na guzman " el chapo" katoroka gerezani mpaka sasa anatafutwa. Btw umeishia darasa la ngapi vidato vyangu ukoo wenu wote mje hamnipati.

Duuh! Pamoja na vidato vyako unasoma lkn huelewi. Nadhani ni kwa kuwa una dini ya uovu. Huwezi kumuabudu mungu kwa kumuinulia mkundu juu mara 5 kwa siku laana ikakukosa.
Nazungumzia orodha iliyotua kwa JPM , unaonaje jinsi mlivyo wengi?
Lkn hata katk medani za kidunia. Magaidi ni akina nani? Juzi tu mgombea wa Marekani amesema waislamu nuksi na akiwa rais hataki mkanyage huko.
Kipindi cha mwezi wa ramadhani maovu hupungua kama siyo kuisha kabisa. Hata kitimoto inadoda ili hali ni najisi kwenu. Maana yake nn? Tafakari chukua hatua.
Usilingishie vitato vya kufundishana kujilipua. Sina haja navyo.
Sijibishani nawe tena, usije kulipua JF.
 
kama maghufuli amemchagua maghembe ili kubalance kanda nimemdharau
 
Yule mama aliyekuwa anatufelisha pale necta kapewa wizara.

acheni udini jamani na kushikiliwa akili. mama ndalichako alitufelisha vipi??? yeye ni kiongozi mitihani inatungwa na inasahihishwa na walimu ambao ni waislam na wakiristo.
mwacheni mama ndali apige kazi hadhi ya Elimu irudi mahala pake
 
Hivi ck hizi kwenye mitihani mnaandika majina au ni index numbers. Maana sijui kuna namba zinazoonyesha kuwa mwanafunzi ni muislam au mkirsto au mpagani. Au mna nia ya kumchafua huyu mama tu

Hawa wanataka kumchafua huyu mama tu hawawakazanii watoto wao kusoma wakipata division five wanatafta pakutolea lawama. Mitihani yote namba ndo zinaandikwa.
 
Maghufuli huu mzigo wa mwanga umeurudisha wa nini? Better ungeampa hata Mwanri
 
Reactions: nao
Uteuzi wa huyu prof maghembe sijaelewa bado...JPM amemuaminije?? Maana wizara ya maji sikuona lolote alilolifanya labda mniambie wadau...Leo hii anapewa wizara nyeti kabisa kama ya maliasili???, JPM umebug meen!!
 
Philipo Mpango ana vyeo viwili

1. Kamishna wa TRA.

2. Waziri wa Fedha.
 
Mi nadhani ingebidi tu kilimanjaro nayo iingie barazani kama sikosei ndo mbunge pekee anayetoka ukanda huo atafanyeje sasa.
 
afadhali muhongo ni smart kuliko hili zee kilaza hili

Wote huko fisiem hamnazo kwanza profesa wazima badala wakafanye tafiti wanahangaika na siasa za matumbo yao. Nchi zilizo advance ma profesa wana contributions kubwa ila bongo ni virse versa hakuna bora hapo
 

huyu makufuli Mimi nilishasema in mzigo,watu wanashabikia tuu,baasi bana mbuzi kafia lwa muuza suou au disko kangia mmasai,SAA nyingine tunahitaji MTU kama jery muro kuwanyoosha watu kama huyu rais
 
Hana sifa dhana ya kutoa mawazir kwa ukanda inaathir unafikir angemteua nan toka kilimanjaro wakat majimbo meng yamechukuliwa cdm
 
mlo tuita vilaza 2012 tumewachagulia waziri wa Elimu Vivaaa Form four 2012
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…