Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Maghufuli huu mzigo wa mwanga umeurudisha wa nini? Better ungeampa hata Mwanri


Bora hii Wizara ingebaki bila Waziri kuliko Maghembe.


Hela za Wizara ya Maji alipeleka kwenye kampeni.
 
Mtaisoma number,na hivi ndalichako anmsimamo mtajuta

Nitamkubali kama, pamoja na mambo mengine, ataondoa ule ufaulu wa kufurahisha mazezeta. Ila akileta uchwaro kama mama Manyanya, Elimu itakuwa kichwa cha mwendawazimu - kila mtu anajifunzia kunyoa.
 
Eti magembe amepewa maliasili!!! JPM imekuaje tena hapa umeenda chaka kabisa ....au umekosea
 
huyu makufuli Mimi nilishasema in mzigo,watu wanashabikia tuu,baasi bana mbuzi kafia lwa muuza suou au disko kangia mmasai,SAA nyingine tunahitaji MTU kama jery muro kuwanyoosha watu kama huyu rais



Ndani ya mwezi mmoja kaanza kupangua baraza lake mwenyewe.


Kumhamisha Mbarawa ni ushara kuwa alikurupuka.
 

Sio sifa huu ni ushamba.halafu mkristo wa kweli hawezi kuwa na akili za namna hii."Baba Mungu uishie mahala patakatifu juu mbinguni muone kijana huyu kwa jicho la huruma na la kusamehe,mfanye aishi vile utakavyo wewe na atende kwa matakwa yako,mapenzi yako na yatimie.Amina"
 
Mmh, kazi ipo huu mzigo mh. Makame mbarawa atauweza kweli.
 
Dr Ndalichako,mpango wa elimu bora uanze na watu wa msoga
 
Mimi ni RAIA ninaependa kuona nchi hii ikisonga mbele ndio maana mwezi huu niliandika Uzi unaomuomba Rais amteuwe Dr Ndalichako awe mbunge kisha Waziri WA ELIMU au KATIBU Mkuu, japo ki ukweli nilijisahau kidogo huyu mama anapaswa kuwa waziri WA TAMISEMI harafu Jafo apewe Wizara ya ELIMU.

TAMISEMI ndio inashughulika NA ELIMU moja KWA moja, Wizara ya ELIMU imekuwa ikihusika na Sera NA si Utawala WA ELIMU NA Usimamizi. Itakuwa bora kama rais atamhamishia Dr Ndalichako TAMISEMI.

Kuhusu Prof Maghembe, nachelea kusema Rais kama ameshauriwa amteue amepotoshwa, kama ameangalia CV ya vyeti NA makaratasi mengine amepotoka, Maghembe hana ubavu WA Kulabiliana NA Ujangili, bora angemrejesha Kagasheki amteue UBUNGE kisha ampe Uwaziri WA Mali Asili NA Utalii au Ampe Agrey MWANRY Wizara hiyo. Siongei KWA nia mbaya, sina udini wala ukabila, wala uchama, wala ukanda natoa MAWAZO huru kabisa.

Wenye mchango karibuni.
 
Maghufuli huu mzigo wa mwanga umeurudisha wa nini? Better ungeampa hata Mwanri
Kama alikuwa anataka mtu wa kaskazini bora angempa Mrema kadi ya ccm na kumpa huo uwaziri😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…