Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara


Hao watu unaowataja pengine hujawajua vizuri, mbona alivyotoka pale watu hao hao walimwajiri? Kwa nature ya mitihani inayosahishwa kwa index number na walimu ambao ni wa dini mbalimbali sioni hilo likiwezekana!
 
Hii ni dhihaka kwa mtanzania, wale walioshindwa ndio anachukua?
 
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.

Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.

Ndio umendika nini sasa hapa?
 

...kinyesi,hivi kweli watu mnakosa kabisa id zozote mpaka unatumia jina hilo? ujue,sometime id yako inatumika kusoma mawazo yako,sasa kama wewe umejiita kinyesi,unadhani nani atakua interested na ulichokiandika?
Anyway,hebu elezea hivi;
1. jina la huyo mwandishi.
2.yeye ni nani mpaka utetezi uliotolewa umridhishe ndio akubali uteuzi.
3.atupeleke huko ambapo hakuna wanaokosea tukachukue mawaziri.
4.wakati Ndalichako akiwa necta,hakuna wakristu waliofeli?
 
BRN NDIO NINI!Jk Bhana msanii sana,matokeo yalipikwa sana!kuna walimu wengi wanashangilia balaa hasa waliofanya kaz na huyu mama,hana ubabaishaji yule.
 
Ndiyo,hakukuwa na jinsi maana Kilimanjaro walishaanza kuchonga.Hivi Raisi kabakiwa na nafasi ngapi sasa wa kuteuwa wabunge?Ila huyu Maghembe sidhani kama atadumu pale maliasili na utalii
Kuna watu wawezaliwa na bahati. Hata michango ndio kishachaguliwa. Hutaki ndiye huyo. Halafu nyie ni nani mpaka mpinge maamuzi ya raisi
 
Yako mambo ya msingi kutafakari! Hivi katika Baraza la mawaziri. Uwakilishi wa zanzibar ni kwa asilimia ngapi?
 
David Mathayo hapana. Hawezi speed ya JPM. Yule waliposema ni waziri mzigo hawakukosea

Hahaaa but ndy hao kutoka CCM Kilimanjaro!
Je Prof ataweza? CCM wenyewe walisema nae ni Mzigo. Rejea ziara za Kinana na Nape kipindi chao.
 
Wizara ya Elimu.
Amewekwa yule aliyesababisha mtifuano kati ya serikali na waislamu juu ya hujuma walizokuwa wakifanyiwa na wizara husika akiwa Katibu wa Necta.

Tunasubiri kwa hamu tuone kama kitengo cha computer kitarudia kukosea na kurejewa upya kutangazwa matokeo ya mitihani na kukuta waliopata Divion F wakajikuta wana A mpaka B.

Waziri wewe hakika hatutakusahau na nenda ukaendeleze mfumo wako na Kaya yako ya Imaan.
 
Mabeki, viungo na washambuliaji wakiwa wapo vizuri kipa hata umpange wema sepetu.
 
Mwanga tuna week ya 2 Sasa hakuna Maji..... Idara ya maji wamekatiwa umeme na tanesco.... Wanadaiwa fedha.


Maghembe alichukua hela za Idara ya Maji na kuziingiza ktk Kampeni zake.


Usangi alichimba visima hewa.... Huyu Mzee ni jipu.
 
Prof maghembe hongera sana, kazi yako inaonekana, huna kick ya magazeti bali kick ya utendaji uliotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…