Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Nadhani uteuzi wa huyu mama utenguliwe tu,hafai,bora wangempa unaibu wa wizara ya walemavu

wewe pia ni binadamu....walemavu unawachukuliaje kwa mfano???
ujui kama wewe ndo mlemavu wa kesho kabla ujafa,tena tubu kabla ujalala usiku wa leo otherwise usitumie usafiri wa aina yoyote ile.
 
Yaani mda wote huo wa kufikiria ndo akaona atuletee Maghembe?
 
ila waislam tuuujiandae kwani huyu
mama ni mdini nasijui
karudishwaje ? hao ndo mambo ya
kitengo? mmh aya waislam
tutaisoma namba adui yetu karudi!!!!
 
kwa maghembe magufuli kalamba dume jamaa yuko poa sana kiutendaji sema wabaya wake humpga fitna tu...hongera magufuli kwa kutuletea jembe hili.
 
Nasubiri sasa kuona waziri gani atakua wa kwanza kufukuzwa.
 
Hili nilikuwa silijui. yaani alisubiri mpaka waislam waende kwenye media kulalamika?
 

Kumbe mama yuko vizuri kama kosa lenyewe lililomwondoa ni hilo kwa maelezo aliyotoa hakupasws kuondolewa kwenye nafasi hiyo nadhani majungu masufuria yaliikwa hapo.
 
MBONA WAZENJI WAMETAMALAKI SANA KTK SERIKALI YAKE./INA MAANA WAO WAMEKUWA SHUJA LIWALO NA LIWE HAWANA CHA KUPOTEZa ? WOGA WA WABARA UMEWASAIDIA SANA SASA WIZARA YA UJENZI SI NI YA TANGANYIKA JAMANI>?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…