ila waislam tuuujiandae kwani huyu
mama ni mdini nasijui
karudishwaje ? hao ndo mambo ya
kitengo? mmh aya waislam
tutaisoma namba adui yetu karudi!!!!
Waislam mwaka huuu waelekee jiwe tuuuu
Kassim Majaliwa aliukana uislam na aka ritadi kwenda kwenye ukristu
Lukuvi anachukia waislam na wazanzibari na hakuficha kwenye video yake kanisani
Ndaluchako....nadhani mnajua skendo yake daudi ya waislam.
Lakini yoke haya tumejitakia wenyewe
Mkapa pamoja na ukatoliki wake alitufaaa zaidi kuliko JK
Allahu yaaa Allaaam
Atakuwa ametubu dhambi zake, maana ngazi aliachia mwenyewe. Ni heri ametubu kiukweli lakini kama ametubu kiuongo-uongo ataumbuka tu kama alivyoumbuka Lowassa.
kama maghufuli amemchagua maghembe ili kubalance kanda nimemdharau
Ndalichako kichwa haiozi bhana wamepiga majungu wee katusua
Duuuuu hapo kwa Ndalichako waislamu wamekwisha,mdiniiii kupita maelezo huyo mama.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu
Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano yautawala wake
Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;
1. Profesa Jumanne Maghembe - Ameteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
2. Dkt. Philip Mpango - Ameteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge).
3. Mhandisi Gerson Lwenge - Ameteuliwa kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji.
4. Dkt. Joyce Ndalichako - Ameteuliwa kuwa Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi.(Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge)
5. Mheshimiwa Hamad Masauni - Ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
6. Prof.Makame Mbarawa - Amehamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano
Katika hatua nyingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewatakia heri watanzania wote katika Sikukuu za Maulid, Christmas na Mwaka Mpya na kuwataka washerehekee kwa amani na utulivu.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
23 Desemba, 2015
Mlisema mtaandamana kwenda kumg'oa NECTA, msoga akawasikia na kumtoa kiaina, sasa wenye akili wasio wa pwani pwani wamemrudisha na amepewa rungu zaidi. Andaeni maandamano kutoka msoga hadi wizarani.Ndalichako ni mdini sana asipodhibitiwa tumekwisha wallah nakwambia
kosa sio kosa kosa kurudia kosaHamadi Masauni alidanganya umri ikabidi ajiuzulu uvccm alafu hivi sasa anaonekana anafaa, siasa gani hizi!
Ila kwa Dk Mpango na Dk Ndalichako nahisi ni uteuzi mzuri
It is a new dawn .............all the best my Motherland!