Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

wametatua tatizo la miundombinu nafikiri hadi umewapa hizi hongera!!!!
 
Kigoma vichwa..hapa nadhani ndugu yetu xito hatatumika kutumia bunge kuwanyanyasa hawa mawaziri kama alivyofanya kwenye escrow
 
Hiv kumbe uteuzi unafanywa kwa kutegemea ukanda
 
Pumbavu! toa ukanda/ukabila hapa. Hao watu wameteuliwa kwa sifa zao wala hawajaenda kuwakilisha waha/kigoma. Watz wote tunawaunga mkono wala hatuhitaji kujua walikozaliwa. Watu wa aina yenu ni majipu mnapaswa kutumbuliwa.
 
Reactions: bdo
Pumbavu! toa ukanda/ukabila hapa. Hao watu wameteuliwa kwa sifa zao wala hawajaenda kuwakilisha waha/kigoma. Watz wote tunawaunga mkono wala hatuhitaji kujua walikozaliwa. Watu wa aina yenu ni majipu mnapaswa kutumbuliwa.

Ujidanganye, asili ya mtu inabaki pale pale hivyo hawa watabaki kuwa wazaliwa wa Kigoma; Hata siyo siri wachagga wanalalamika kwa mara ya kwanza wameshindwa kutoa mjumbe katika baraza la mawaziri tangia nchi ipate uhuru:: Wanaisoma namba kikamilifu!!!
 
Warundi wanakazi sana,vipi kiongozi mkuu wa ACT-UJIJI?
 

vp na mikoa waliotoa ma rais wameijenga hiyo mikoa kushinda dar wanapokimbilia hao viongozi????
 
Mkuu MAFILILI, naona unataka mkatambike. Karne hii bado hii kitu iko kichwani!!
 

Acha ukabila wewe. Mlikuja na wanamuziki Eka tudigite hamna aliyewaunga mkono kwa kuwa wa TZ watutaki ukabila. Ndio maana nyie mnaambiwa niakina Nkurunzinza hamtaki! Bado mna chembechembe za ukabila.
 
mleta mada ni mzembe ajabu. haya sasa, dr ndalichako et al wanatoka mkoa wako wa kugoma, umenufaika na kipi haswa? nyambavu mkubwa ww.
 
Kigoma 90% ni wahamiaji haramu....i.e wacongomani na warundi...
 
Idumu jf, pia hongera mama Ndalichako, katibu mkuu mtendaji wa enzi zile ukiwa NECTA mwenye weledi wa hali ya juu, sasa waziri.

Sina mashaka na utendaji wako ila jihadhari sana na wimbi la mfumo wa kisiasa ktk utekelezaji wa majukumu yako. Weka misimamo thabiti kama ulivyoweka misimamo wakati ule ukiwa NECTA.

Kazi njema na kila laheri.
 
Kumbe mama yuko vizuri kama kosa lenyewe lililomwondoa ni hilo kwa maelezo aliyotoa hakupasws kuondolewa kwenye nafasi hiyo nadhani majungu masufuria yaliikwa hapo.

yeye aliondoka pale katk utawala wa Jk baada ya serikali kuamua kutanua goli na kuamua kuwa wanafuz wa fom two ata wakifeli waendee ndio akaamua kuachia nyoya akenda zake kenya..naona magufuli kaona umuhimi wake
 
Kumchagua Ndalichako Makufuli anatuonyesha taswira yake
 
Ulitaka ateuliwe bibi yako

Unaweza ukafikiri kuwa watu wamekuunga mkono kwa hili lakini ukasahau kujiuliza kwamba umefikiri sawa.?


Jaribu kufikiri kabla hujatoa hayo maneno yako...
 
Hapo sioni chuki kwa Waislamu mkuu. Ni somo walikosea kusahihisha na tatizo wakali-fix. Iyo ni chuki au mistake?
 
Prof Maghembe alikuwa Waziri Mzigo na si mtu ambaye ni results oriented. Na anapenda mshiko..
Mtazamo wangu hakufaa kabisa kuwa waziri wa awamu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…