Hii iliyopo anaiheshimu? Kikubwa inatakiwa rais aheshimu na kufuata katiba kama sivyo hata ukileta katiba ya Africa kusini ni kazi bure
Hii ya sasa yenyewe imeshindikana kwa mambo kadhaa ambayo yapo na yanakiukwa, hata kama tukikubaliana na wewe kuwa ina udhaifu; je hiyo ya Warioba ndo itawezekana!?
NB: Kutokamilika kwa mwanadamu hakupi uhuru wa yeye kufanya dhambi.
Wewe unaiheshimu? Tuanzie hapo kwanza?Aheshimu kwanza katiba iliyopo.