johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wale waliokuwa wanamuulizia Mangula..
Kilikuwa ni kikao cha ndani, mkuu!Leta mrejesho wa kikao kama upo
Shukrani mkuu!
Ukicheka hilo koti lake unawekwa mahabusu wiki nzimaAisee hizo pamba za mzee Mangula siyo mchezo
Kwani Mbowe yuko wapi Takukuru wanamtafuta!!Mzee Mangula ameelezea siku zote hizi alikuwa wapi?
Ikulu ya ccmRais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani.
Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally.
Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa Ikulu ya Chamwino akiwa amesindikizwa na mzee Mangula na Dr Bashiru.
Source Eatv habari!
Linaitwa #FREE'IDRIS!Ilo koti vepeeee