Rais Magufuli akutana na Rais Zanzibar, mzee Mangula na Dr Bashiru Ikulu Dodoma

CCM mmefilisika mpaka mnamvalisha mzee wenu Mangula Shati la mzee Mkapa?
 
Mbona kila mtu ana jadili hiyo pamba ya mzee Mangula [emoji23][emoji23][emoji23] Mano likwelikwe msiongee sana inatosha.
 
Kwani upelelezi wa mambo leo uliishia wapi maana mrejesho hakuna mpaka mzee katokea kininja hadharan
 
Kuna kitu mule mikonon labda anafcha maana lile koti ni shda
 
Kesho utasikia maangula yupo hospital amelishwa pumba kavu
 
Hivi ilikuaje siku ya uzinduzi unakosekana uwakilishi wa zanzibar mpaka mh. Shein aje asindikizwe na wazee wa chama kuweka udogo kwenye jiwe la msingi la ikulu mpya Dodoma jana?
Nafikiri kuna mahala mambo hayapo sawa kama waandaaji wote walisahau umuhimu wa Zanzibar kuwepo na uwakilishi, ama ilikua ni ikulu ya Tanganyika na sio ya Union. Hili doa kubwa sana Serikali ijifunze na kujirekebisha kwa hili kwani dhahiri inaonekana kuna mahala mambo hayako sawa.
 
SHEIN akija dar ni kama mkuu wa mkoa[emoji125][emoji125]
 
Mwaka 2015 mwezi Juni kutoka ktk maktaba online :
Maneno mazito ya Mzee Bernard C. Membe bado yanaishi mpaka leo kwa wanaCCM ambao wanaitakia mambo makubwa zaidi nchi hii wakielekea 2020, tumsikilize :
Hayo ya Membe kwa CCM sasa hivi ni historia. Chadema mpokeeni awabebee bendera ya Urais 2020!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…