Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
It's Only a fool that doesn't change his mind, hapo mbeleni nilimponda Magufuli kwa jinsi alivyo handle hii pandemic ya Corona lakini sasa naona he was right all along; huu ugonjwa hauathiri Afrika Kama vile nchi za uzunguni,kwa Africa ni Kama homa tu.
Mfano angalia nchi Kama Somalia South Sudan na Burundi ambazo ndio shithole za Africa yaani mtu angetegemea watu huko wakufe Kama nzi lakini wapi maisha ina endelea Kama kawaida.
Nchi za uzunguni hazingefunga nchi zao kama maafa ingekuwa chache kama Africa. Kwa hivyo, Uhuru aache upuuzi ya kuiga wazungu na afungue nchi kama Magufuli. Ni aibu kuona Serikali ya Kenya iko so desperate kutaka visa ziongezeke hadi wana-fake number za wale wako positive. It's a good thing wameshindwa kufake vifo juu media za uku zitahoji kuona mwenye Miili zinazikwa.
Hauwezi kamwe kujustify kufunga uchumi kwa miezi tatu sasa sababu watu less than 50 wamekufa. Mafuriko yenyewe ime ua zaidi ya watu 250+ wanao julikana kwa sasa chini ya mwezi mmoja na kila mtu anaimba tu Corona.