Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania

Nani aliyekwambia ukikubali ukweli utageuka jinsia?
 
I can feel ur pain jombaa[emoji3][emoji3]
 
Sema wamekupita wewe, hao unaowaona miungu watu, tumesoma nao na kuwapiga bao kwenye mitihani na tumefanyanao kazi pia. Ni binadamu wa kawaida ila ujanja wao ni kukuaminisha wewe kuwa wao ni miungu watu.
 
Mkuu karibu sana kwenye corona send-off jumapili yaani ni full shangwe kila sehemu wa kwenda kanisani aende, wa kwenda bar aende, wa club aende ili mradi kila mtu aifanyie corona send-off
 
Sema wamekupita wewe, hao unaowaona miungu watu, tumesoma nao na kuwapiga bao kwenye mitihani na tumefanyanao kazi pia. Ni binadamu wa kawaida ila ujanja wao ni kukuaminisha wewe kuwa wao ni miungu watu.

Mumefanya nao vyote hivyo ila leo hii hao Sweden ndio wanaongoza kuwapa misaada, inaonyesha mlivyo hovyoo.
 
Hii imekaaje tena, kwa nini wanataka formula?
Wanachotakiwa Madagascar kufanya ni ku-patent the formula kabla hawajawapa WHO hiyo formula la sivyo those big multinational companies wataiiba na kui-patent! Kutoa formula kwa madawa si kitu kigeni maana dawa yeyote lazima ipitiwe na taasisi za uangalizi kabla ya kupata legitimacy ya mass consumption.
 
Hivi kati ya Kenya na Tanzania nani maskini? Anae foji takwimu ili apate msaada ama asie taka msaada?

God save us
 
Usipaliwe kwa mate kwa kuchungulie ya jirani na kucheka umbea subiri tuwatumie mahindi mle
Sent using Jamii Forums mobile app
 
haaa wewe jama unachekesha saana sana.
tanzania tumeacha lock down kwa sababu ni masikini ?[emoji23]

balozi wa kenya hapa tanzania anaongea mpaka analia anaomba msamaha yaishe mambo ni magumu kenya sababu tanzania kapiga ngumi ya taya mpakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wamekupita wewe, hao unaowaona miungu watu, tumesoma nao na kuwapiga bao kwenye mitihani na tumefanyanao kazi pia. Ni binadamu wa kawaida ila ujanja wao ni kukuaminisha wewe kuwa wao ni miungu watu.




Hivyo kwa nini waje kuwatengezea reli na infrastructure nyingine hali ninyi mmewafikia kiakili? Hamwishi kutushangaza. Mwanzo linganisha sarafu yao na yenu.
 
Umeongea point ndo umuelimishe yule mbumbumbu mk254 a.k.a mzee wa Pima pima pimaaa korona imeuwa watu 50 lakini mtu anafikia kufunga nchi lakini kuna mafuriko na malaria inaua zaidi ila hawajafunga nchi huu ni uchizi wa kiwango cha rami
 
Nimegundua huyu dogo anahasira mbaya na tz kuliko yeyebanavoweza kuelewa. Labda uambiwe tu tz sio masikini kama unavojidanganyaga kila siku. Tofauti ya GDP iliyoko kati ye ke na tz sio kigezo cha kumaanisha wananchi ni maskini. Kibuhalisia hata kama hutaki kuamini kwa sababu zako unazozijua wananch wa nchi zote mbili hawapishani. Na kwa mwananchi mmoma mmoja angalau wa tz ni bora kuliko hao wa kenya. Ila kwa vile unajisikiaga kushiba unapotaja umaskini ww.endelea hivyo hivyo labda ni njia ya kukuondolea stress zilizokujaa. Ila pole naamini kuna kitu wabongo walikufanyia maana sio kwa chuki hizo ambazo ziko wazi kabisa. Wakat mwingine inabidi tukiona post zako turuke tu bila kusoma maana najua hakuna uchambuzi wa maana unaoweza kusema other than kusifia visivypsifika na kuponda visivyopondeka kwa maneno yako mawili tu na yakila comment..umaskini na kujichokea.. Pole kwa umaskin wako na kujichokea maana hizo lockdown zitawamaliza subrin tu
 

Sema hii ni fursa yenu ya kupiga pesa maana ukiondoa Hiyo knockdown hiyo pesa mnayopiga nani atawapa wezi nyie, kazi kudhulumu wananchi maskini kisa Corona.
 
Angekuw wa kuelewa angeelewa kaka.ila unapoteza mda,huyu ni mwezi mchanga.mtu timamu hawezi akawa na hulka kama za uyu boya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…