Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania

Hawana jinsi wataendelea kufake maana fedha za mkopo wa vivid 19 Toka kwa mabeberu wamegawana wamefisadi
 
Hela za Corona ni tamu Sana...we need a revolution.
 
Hela za Corona ni tamu Sana...we need a revolution.
Hahahaha yaani nikikumbuka kipindi kile mlivyokua mnamtukana Magufuli kila aina ya tusi na leo huo ufisadi mnaofanyiwa na serikali yenu kwenye hili la Corona, nashangaa sana

Laiti mngetumia robo tu ya zile nguvu kuiwajibisha serikali yenu, ingewasaidia kidogo lakini mlivyo hopeless na sijui hiyo elimu na katiba mnazoringia zimewasaidia nini, mmenyamaza kimya kama vile nothing is happening

Utasikia eti Magufuli ni dictator anaita wala Tanzania kama Kenya kipindi cha moi, lakini Uhuru anavyowaibia na kuwatapeli hilo hamuoni, hovyo kabisa ninyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…