Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aliwahi kusema kuwa wapinzani hawana ilani, leo ameanza kutaja kurasa za ilani ya CHADEMA na kuzitolea ufafanuzi (Soma hapa)

Kwani sasa hivi serikali ndio inachimba madini ana imeingia zabuni na makampuni ya madini? Tofauti ya zabuni na kuweka rehani ni nini? Meneja kampeni wa magufuli anakula ela za bura hana kazi anayomsaidia.
Huelewi tofauti ya rehani na zabuni? Zabuni ni mikopo yenye rehani ? Aisee mbona una uelewa mdogo sana
 
Uchaguzi ukiwa wa wazi na wahaki CDM watashinda kwa 60% wapinzani wengi wa CCM wamo ndani ya CCM wenyewe kuliko ktk upinzani
Hao unaosema wapinzani wengi wa CCM unasema wale viongozi wakuu ambao ni approximated to rare percent of total voters

Mtaji wa CCM ni wanachama
Ukiona mkutano wa CCM umejaa ujue karibu 80-90 ni wapiga kura halali sio mashabiki!
 

Kwamba ww unaakili sana kuliko wao?
Wazo kama hilo angesema magu ungeliunga mkono

Ila kwa vile amesema lisu unaleta mashairi meeeeeeengi

Leteni kwanza mikataba mlioingia juzi
 
Kwani sasa hivi serikali ndio inachimba madini ana imeingia zabuni na makampuni ya madini? Tofauti ya zabuni na kuweka rehani ni nini? Meneja kampeni wa magufuli anakula ela za bura hana kazi anayomsaidia.

Hahaha hata me nashangaa
 
Siasa za Tanzania hazina mchakamchaka wa kukipelekesha chama tawala haya ni maneno tunayojifariji tu mitandaoni!

Kwa Tanzania hii upinzani ukipata 40% ya kura za wananchi sio za mitandaoni ni ushindi tosha!

Msinipige mawe.
40% hawatawhi kuzipata na wasijilinganishe na Lowassa, kwani lowassa hakuwa mpinzani. Mwaka huu chadema wategemee 6%
 
Siasa za Tanzania hazina mchakamchaka wa kukipelekesha chama tawala haya ni maneno tunayojifariji tu mitandaoni!

Kwa Tanzania hii upinzani ukipata 40% ya kura za wananchi sio za mitandaoni ni ushindi tosha!

Msinipige mawe.
Wewe ndio unaepiga kura ,umeingia mioyoni mwa wapiga kura au tegemeo lenu kuu Ni lilelile Jechaism ? Mwaka huu mnachemka
 
Huyu mzee keshaelekea kibra!!! Kazi ya Lissu ndogo sana sasaivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣 🀣 🀣 🀣 leo Lissu kasema mzee kakata pumzi. Aaajibu hoja za CDM badala ya kunadi sera zake
 
Sikia dada angu

Unampa mkataba miaka 50 ya kuchimba, akupe pesa ya miaka 50 atakayochimba kadiri mtakavyokubariana sio kwamba ulipe in cash, atajilipa kwenye madini anayochukua.....maana yake unachukua chako mapema kuliko kusubir achimbe ndo alipe

Haina tofauti na mikopo wanaochukua waajiriwa, wanachukua mkopo kufanya jambo linalohitaj pesa kubwa, nguvu kazi yake ndo itakayolipa

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Issue hapo ni dhamana sio pesa unayochukua!!
Kuweka ardhi yenye madini au gesi kuwa dhamana hilo ndilo tunapinga
 
Kukosa ilani ni pamoja na kuwa na Ilani ya hovyo hovyo

Ilani yoyote inayosema madini yote ya nchi hii yatawekwa/wekwa Bondi ili ndio yawe yanayokwenda kuiendesha taasisi ya Uraisi na Baadhi ya Mapato yake kwenda Ku Donet kwenye Baadhi ya majimbo masikini, ni Kati ya Sera itakayoenda kuibua mauwaji ya kutisha katika nchi hii na Sera yenu ya majimbo,

Sera hiyo inamaanisha, majimbo yaliyo kwenye ukanda wa madini, madini sio sehemu Yao itakayokuwa ikutumika kuinua Uchumi wa majimbo hayo, maana yake, rasilimali hiyo itakuwa ni ya Kiserikali, huu ni upumbavu!!

Wachimbaji wa madini ktk sehemu hizo zote hawataruhusiwa kufanya shughuri zao hizo Kwa kuwa haitakuwa Mali Yao zaidi ya huyo atakayemilikishwa, atakayepewa dhamana

Kwa mantiki hiyo, ndio maana Mabeberu wamekuwa na nguvu nyingi nyuma ya Mbeligiji huyu, kumbe kuna upewaji wa madini yetu?

Kama kweli ni hivyo, Mimi mwenyewe nitakuwa wa Kwanza kuwa sadaka ya wengi Najua kina Leiza NAO hawatakubali mpango huu WA kijinga na wananchi wote walio katika maeneo ya migodi ya madini kote nchini, Tuaandamana na hapatakalika na sidhani kama mtawala huyu atakuwa na raha ya kuongoza watu ambao kila Leo watakuwa wakishindana na mapolice wake wakiwauwa Kwa kukataa ukandamizwaji wa kijinga kiasi hicho

Narudia tena, kama kweli yanayosemwa kuhusu madini ndio mpango wa Chadema, kama ni kweli kwamba atatafutwa mtu ambaye atapewa kama Bondi ili serikali iyafanye ndio yawe ni kiendesheo cha Serikari na wachimbaji wote hawataruhusiwa kuyagusa, Binafs nitakuwa wa Kwanza kuwa sadaka ya wengi, Najua duniani tunapita, nitapita, hata kama si katika Hilo nitapita

Yaani, Chadema inamaanisha nini, Kwamba, watu Kwa mfano kule Geita, zaidi ya madini hawana kitu kingine, uwanyang'anye ili wafanye nini sasa?

Kule Shinyanga nako vilevile, Bora Arusha Kwa kuwa kuna mlima na mbuga za wanyama, Mara nao Wana madini na utalii Kwa mbali,

Sijui, itakuweje, mi sijui
 
Mambo yanemharibikia malaika mkuu
 
Issue hapo ni dhamana sio pesa unayochukua!!
Kuweka ardhi yenye madini au gesi kuwa dhamana hilo ndilo tunapinga
Unapinga wewe na nani? Shuleni hujafundishwa hata misingi basic ya uandishi kati ya I na We?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…