Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Mkuu, kama ni kweli hiyo ndio Sera yenu kuhusu Madini, nakuhakikishieni kwamba, wachimba madini kufa Yao, ni kama mtoto kunyonya ziwa la mamaye awapo na njaa, hamtaiongoza hii nchi Kwa Amani,Tell me!Mambo yanemharibikia malaika mkuu
Mkuu, huo ni upumbavu wa Hali ya juu zaidi kupita hata udicteta“Nimesoma katika Ilani yao nafikiri ukurasa wa 84 au 85 sikusoma vizuri sikumbuki kurasa, wanasema wakipata Madaraka madini yetu watayaweka Rehani, wanatumia neno watayaweka dhamana, yaani atatafutwa Mtu atakabidhiwa madini yote anaanza kuchimba eti dhamana”
Hii laana itatutafuna vizazi na vizazi, aliyeelewa hapo anipe mwongozo
Mnapinga mmekuwa wapinzani?Unapinga wewe na nani? Shuleni hujafundishwa hata misingi basic ya uandishi kati ya I na We?
Ngoma imekuwa "mwizi kamata polisi"!!Sasa yeye ndiye anaact kama mpinzani .... Huu mchezo mtamu kweli kweli. Muwinda sasa amegeuka kuwa muwindwa!!
Kwani mikataba ya madini ambayo ipo unaijua, tofauti yake na kuweka dhamana ni kuwa wanalipa hela baada ya kukata percent, kuna wamiliki wa migodi wanamikataba inaisha miaka sitini ijayo.Issue hapo ni dhamana sio pesa unayochukua!!
Kuweka ardhi yenye madini au gesi kuwa dhamana hilo ndilo tunapinga
Hata sasa si tumeweka migodi yote dhamana kwa jina la wawekezaji?Nani anachimba Almasi pale Mwadui?Nani anachimba Natural Gas yetu Songo songo?Tusiwapotoshe Wananchi wenzetu kwa kuwajaza hofu ya vitu vilivyokwisha uzwa kitambo!Hiyo safi, kuliko kukopa bora uweke bondi mgodi, uchukue pesa ambayo uliyltakiwa uipate miaka 100/miamoja ijayo, tanzania itakuwa kama ulaya
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app