MIMI BABA YENU JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 305 Reaction score 728 Oct 7, 2020 #1 Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Oct 7, 2020 #2 Amemuombea apone haraka Siasa sio ugomvi Siasa ni Upendo Siasa ni Undugu Hongera Sana Mwenyekiti wa CCM kwa Moyo wa huruma Attachments FB_IMG_16020533286104936.jpg 29.9 KB · Views: 2
Amemuombea apone haraka Siasa sio ugomvi Siasa ni Upendo Siasa ni Undugu Hongera Sana Mwenyekiti wa CCM kwa Moyo wa huruma
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Oct 7, 2020 #3 Rais wetu mwenye roho ya utu mpenda amani na mzalendo amempigia simu na kumtakia apone haraka kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe. Pia Mh Rais amewashukuru manesi na madaktari walimtibu zito Maendeleo ya vitu haya Chanzo .kurugenzi ya habari ikulu USSR
Rais wetu mwenye roho ya utu mpenda amani na mzalendo amempigia simu na kumtakia apone haraka kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe. Pia Mh Rais amewashukuru manesi na madaktari walimtibu zito Maendeleo ya vitu haya Chanzo .kurugenzi ya habari ikulu USSR