Yule msanii aliyeimba chadema chadema mpaka ikulu alivyokufa mlihudhuria hata mazishi yake kweli?
Watajielewa jibeba sana kipindi hikiKaskazini mnaumia sana, ila ndio hivyo mnaowaita washamba ndio wamekamata dola na ndio wengi, mngekuwa na akili kama mnavyodai basi mngekamata dola kama wakikuyu Kenya, mlie, mshambulie mitandaoni, m brag kwamba nyie kwenu migombani ni kama New York sawa, ila ndio dola tushaishika! Na hatuna mpango wa kuiachia, kama ulisoma Political Science unajua concept ya "Majority rule" the tyranny of number, na ndio hao mnaowaita washamba watawaongoza tu, even after 2025!
Haya umeyatoa wapi huyu magufuri alishashinda uchaguzi na chaguzi nyingi sio mara ya kwanza kama lisu na zitoMagufuli hahitaji ushawishi wa Diamondi au raia yoyote ili awe rais, bali anahitaji tume ya uchaguzi inayotii matakwa yake, na vyombo vya dola vilivyo tayari kufanya lolote ili abaki madarakani. Hao akina Diamondi wanatumika tu kuhadaa umma kwamba jamaa anakubalika, lakini ushindi wake halisi hautokani na ushawishi wake kwa umma bali nguvu ya madaraka yake. Uzuri ni kuwa wananchi wengi tunajitambua, hakuna tume huru vya uchaguzi hatutashiriki kupiga kura. Acha awe rais lakini sio kwa ridhaa ya wananchi bali atakuwa kama serikali ya kijeshi.
Yule msanii aliyeimba chadema chadema mpaka ikulu alivyokufa mlihudhuria hata mazishi yake kweli?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hii inahusiana vipi na kaskazini?Kaskazini mnaumia sana, ila ndio hivyo mnaowaita washamba ndio wamekamata dola na ndio wengi, mngekuwa na akili kama mnavyodai basi mngekamata dola kama wakikuyu Kenya, mlie, mshambulie mitandaoni, m brag kwamba nyie kwenu migombani ni kama New York sawa, ila ndio dola tushaishika! Na hatuna mpango wa kuiachia, kama ulisoma Political Science unajua concept ya "Majority rule" the tyranny of number, na ndio hao mnaowaita washamba watawaongoza tu, even after 2025!
Haya umeyatoa wapi huyu magufuri alishashinda uchaguzi na chaguzi nyingi sio mara ya kwanza kama lisu na zito
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli hahitaji ushawishi wa Diamondi au raia yoyote ili awe rais, bali anahitaji tume ya uchaguzi inayotii matakwa yake, na vyombo vya dola vilivyo tayari kufanya lolote ili abaki madarakani. Hao akina Diamondi wanatumika tu kuhadaa umma kwamba jamaa anakubalika, lakini ushindi wake halisi hautokani na ushawishi wake kwa umma bali nguvu ya madaraka yake. Uzuri ni kuwa wananchi wengi tunajitambua, hakuna tume huru vya uchaguzi hatutashiriki kupiga kura. Acha awe rais lakini sio kwa ridhaa ya wananchi bali atakuwa kama serikali ya kijeshi.
Sasa hii inahusiana vipi na kaskazini?
Haujui huku huku kaskazini kuna wanaomuunga mkono Magufuli na kuna ambao hawamuungi. Na huko huko kwao vivyo hivyo?