Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Hayo aliyokuwa akilalamikia DJT baada ya kubwagwa ni nini? Au alikuwa akicheza "sengeli" ya ki US? Nendeni nanyi Kisutu makpinge matokeo, kwani wagombea wa Ubunge hakuna walioshindwa ili waende Kisutu!? Mnang'ang'ania za Urais ambazo hata Bob kesha zikatia tamaa - 84% wewe unadhani ni USHINDI wa mchezo?!
 
Huyu vipi, mbona naye anakuja na MIROPOKO isiyo eleweka humu JF? Hayo majina na makabila unayosema ni kama uko NDOTONI. Amka wewe! Lete hoja acha.na na kuendekeza MAMBO YA KIJINGA.
 
Mimi si mwanachama wala shabiki wa chama chochote kile, ila napenda kilichoandikwa kifuatwe na kibadilike kama hakitendi haki. Maoni yangu ni kuhusu katiba ya Tanzania na mahakama za Tanzania na sio ICC.
Katiba mbona iko poa tu!??? Labda unamaanisha ibadilishwe kipengele cha ukomo wa madaraka ya Rais. Hapo sawa!!!
 
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Mmeanza.Huko Ziliibiwa kwa njia ya Posta.
 
Hata hiki "kingeleza" kimeimpuluvu.
 
Huyu vipi, mbona naye anakuja na MIROPOKO isiyo eleweka humu JF? Hayo majina na makabila unayosema ni kama uko NDOTONI. Amka wewe! Lete hoja acha.na na kuendekeza MAMBO YA KIJINGA.
Na bado mtakoma tu, Mujinga ni wewe yego! mimi siyo mujinga bhana! hilo li magu renu tena litakimbia ritaacha kiti. mimi sina Hasira, wewe ndiyo umejaa hasira unasema mambo yasiyo eleweka sasa!

kwani miropoko ni nini? nieleze!! hata kwenye Dictionary halimo! usiongee kilugha hapa! umesoma kweli wewe mkaruka? acha jazba utakuwa huzai sababu ya avatar usiyoijua!! Muraa nirete hoja au oja? sema moja nikuelewe!! au ongea kidhungu kabisa si mko kenya?

hili neno lako mura halipo kwenye Dictionary ya kiswahili, anza upyaa! ila usipasue computer yako sijui simu!!!
 
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.

Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Nyie Watu si Mfeee tu Maana Hii Dunia sio Sehemu Bora kwenu mtalalamika mpka mfeeeee
 
Huwa sijibu UPUUZI kama huu.
 
Kuendeleza uhusiano upi?Tokea lini democratic wakadekeza vibaka wa wizi wa kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…