Rais Magufuli amteua Prof. Sylvester Mpanduji Mkurugenzi SIDO

Engineer Omar Bakar Mkurugenzi aliyetumbuliwa alifundishwa na Mpanduji hadi alipohitimu mwaka 1999. hata hivyo uteuzi wake uliacha maswali mengi juu ya uwezo na uzoefu kulinganisha na nafasi hiyo kubwa. wengi walihoji nani alikuwa nyuma ya uteuzi ule.
 
I should end it here!Time will determine, whether the president is wrong or right by picking the engineering Profesors to lead innovative engineering institutions!
 
Huyo Engineer omary unaengua uteuzi wake tena bila sababu wala facts...kama kuna kosa waislam wamekufanyia ni bora uweke wazi tuh mheshimiwa
 

Hakuna chochote..

I can see jins mnavyofurahi..hakuna kilichomgharim mhandis omary zaid zaid ya udini na jina lake...

Its astonishing to see everyday katika teuzi zake anaondoa waislam na kujaza wakristo wenzake...

Kinachoshangaza zaid nchi hii positions nyingi serikalin zimekuwa manipulated na hao the so called waimba kwayas but since independence nchi hii imeendelea kuwa masikin na fukara pamoja na rasimali ilizonazo...huku wakijiita wasomi...sasa usomi wao uko reflected wapi?kwenye kuliibia tuh taifa au?
 
So na wanafunzi wanaotoka vyuo wasipewe nafasi hata kama sifa wanazo sbb walikua tu wanasoma? Hapo hapo tunalalamika nafs zinazotaka experience, ushajiuliza je ingetokea huyo prof akafa au akastaaf nani atafundisha?

Ni kama vile unasema wanafunzi wanaotoka vyuo moja kwa moja wapewe nafasi ya kuongoza SIDO. Siyo? Which world are you talking about fella? New graduates wasiokuwa na experience wanapaswa kufuata mlolongo ufuatao: internships kabla hata hawajamaliza vyuo, apprenticeship programs isiyopungua miaka miwili mara baada ya kumaliza vyuo, baada ya kumaliza apprenticeship programs tutakuwa tumejua nani ni nani na experience inayouliziwa na waajiri watakuwa nayo tayari. Sasa kukosekana kwa internship and apprenticeship programs hakumaanishi kuwa waajiri wanapaswa tu kuajiri watu blindly.

Kwani hawa maprofesa wanaoteuliwa kwenye nafasi mbalimbali walishastaafu? Kwani wamekufa? Kwani tulipomteua Prof. Mpanduji kuwa bosi wa SIDO, tumezingatia kwamba atakufa hivi karibuni hivyo tuwahi kumtumia kabla hajaondoka? Hapa tunazungumzia the best use of available resources. Na vyuo vyenye mipango mizuri vina succession plan. Sasa watu wanakufa. Maprofesa wanakufa. Lakini hatuwezi kusema kwa kuwa tunajua kuna kufa, basi tufanye mambo yetu shagalabagala.
 
I think soon hii mbegu ya udini ambayo anaipandikiza itakuja kumgharim...

All in all we are aware kwa kila kinachoendelea
 
Chuki zako tu
Kufanya innovative lazima ujuilize kwamba u profesa aliupataje?

Ukijua namna u profesa unavyopatikana ndio hurudi hapa
 
I think soon hii mbegu ya udini ambayo anaipandikiza itakuja kumgharim...

All in all we are aware kwa kila kinachoendelea
Ni kweli mkuu akiona jina la kiislamu anajifanya anatumbua,inaelekea alikuwa na ajenda yake kabla. Majina mengi anayoteua ni Kagera na Mwanza,Geita au mikoa inayofanana na hiyo.Tunahitaji kiongozi anayeweza kudhibiti mihemuko yake ya kiimani na kikabila badala ya kuona teuzi zilizojaa udini na ukabila.Akumbuke yeye n kiongozi wa Taifa la Watanzania sio chifu wa kabila au kiongozi wa dini
 
hao wanafunzi ni mfano sio kuwa wapewe nafasi SIDO but they can kama they have qualification, Aisee, utakua unaishi dunia ya peke yako kwa hiko ulichokiandika kuhusu new graduats, naona tumeshindwa kuelewana katika mifano, kila la kheri
 
hao wanafunzi ni mfano sio kuwa wapewe nafasi SIDO but they can kama they have qualification, Aisee, utakua unaishi dunia ya peke yako kwa hiko ulichokiandika kuhusu new graduats, naona tumeshindwa kuelewana katika mifano, kila la kheri

Kwamba nilichoandika kuhusu new graduates hakifanyiki katika dunia hii unayoishi wewe (ambayo ni duara au flat?). Right?
 
Mzee Prof. Mpanduji japo anaonekana yangi,lakini toka 1984 yupo SUA.Huyu ni Mtalaam wa Mechanics ambaye anavistori vyake vya Bayern,Muchen,Frankfurt,Bon.Tunategemea mengi sana kwa Huyu HEAD OF DEPARTMENT ENGINEERING na Former Dean of student_AGRICULTURE FACULTY
 

Ndiyo wapo Mpanduji wawili wote Maprof.Na huyu wa Vet ndiyo alipata Uprof Mapema kabla ya huyu wa Engineering ambaye 2012/2013 ndiyo alipata Uprof.
 
Ndiyo wapo Mpanduji wawili wote Maprof.Na huyu wa Vet ndiyo alipata Uprof Mapema kabla ya huyu wa Engineering ambaye 2012/2013 ndiyo alipata Uprof.
sasa huyo wa Engineering si ndio ameenda SIDO ama? maana kuna watu wanachanganya mada hapa kwamba yule wa vet ndio kateuliwa...VET na SIDO wapi na wapi?
 
sasa huyo wa Engineering si ndio ameenda SIDO ama? maana kuna watu wanachanganya mada hapa kwamba yule wa vet ndio kateuliwa...VET na SIDO wapi na wapi?

Huyu Prof. SM MPANDUJI ambaye sasa ni Alikuwa Head of Department(College of Engineering Science) ndiyo anaenda SIDO kuwa Mkurugenzi.
 
wewe una akili saana ndiyo maana umemwambia ukweli 90%
 
Kwamba nilichoandika kuhusu new graduates hakifanyiki katika dunia hii unayoishi wewe (ambayo ni duara au flat?). Right?
Ya kwako itakua flat, kafanye research why vijana wengi hawana eperience then uje, halaf ulitegemea prof km huyo pia akafanye intern ya kaz ndo achaguliwe ili awe competent ktk hiyo nafasi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…