Rais Magufuli anafuatiliwa Afrika yote, sio Kenya tu

Hakuna rais mwerevu asiyejua mahusiano ya kikazi ya mawaziri na watendaji wake, usipojua utashindwa kujua nani ni mchapakazi ili aendelee kuchapa kazi na nani ni kikwazo kwa wengine. Utawezaje kupanga safu ya mawaziri wako au hata PSs kama hujui mahusiano yao ya kikazi yakoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23]yaani uzae watoto kama panya kisa rais kasema,we usipate aibu kwa ujinga wa mtu mwingine,wewe unayejua alitania kaa na busara zako.

Wakikuuliza waambie,kama wanafikiria hakuna ulithi mwingine kwa binaadamu zaidi ya watoto,waendelee kuzaa,mpaka wapewe vyeti vya kufuzu,maamae

Haya maisha ukijifanya fala wa faida tunakuchongea tuzo,ili ujipongeze.
 
Ni nchi gani unaenda we msukule wa mbowe? JPM ni nyota kila kona, mpaka ulaya wanamtaka JPM anyooshe nchi zao japo masaa kadhaa. Mnaopata tabu ni mafisadi na wauza unga na wala ruzuku
 
😂😂😂😂 Bado Makonda
Mpaka mvae chupi kichwani
 
Si eti tunaumia bali tunacheka full comedy alafu unasema makufuli amekuwa best President miaka miwili mfululizo ila mwaka huu wa comedy show amekuwa namba mbili, si by 2020 Utakuwa anacheza ligi moja na Joseph Kabila.
 
Hata Marekani CIA wanamdukua hadi Rais wao, ni kawaida idara za ujasusi zinazozingatia maslahi mapana ya nchi kutomwamini yeyote, labda kibaya ni kuweka wazi, ingawa inaweza kuwa mbinu ya kuwaweka wenye dhamana kwenye mstari na kuogopa kujali matumbo yao na familia zao. Mfano Naibu waziri wa mambo ya ndani alipotaka kuingiza vijana wake kwenye ajira ya polisi kwa kutumia cheo chake, bila udukuzi isingejulikana, je hilo likiruhusiwa unategewa watoto wa maskini na wakulima watapata ajira huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taahira mwingine wewe! Vilio vya Wakulima, Wafanyakazi na Wafanyabiashara juu ya dhuluma mbali mbali wanazofanyiwa na huyo dhalimu ZWAZWA wewe huzioni! Nchi kuwa na MAZWAZWA kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa kutwa kucha kupigia makofi udhalimu.

Huyo mtu na ndugu yake salary sleep wako kwenye kipindi kigumu sana awamu hii,wanalia bila kujificha.
 
Huyo mtu na ndugu yake salary sleep wako kwenye kipindi kigumu sana awamu hii,wanalia bila kujificha.
😂😂😂😂😂 Hiyo ni bado, mpaka 2025 akili zitawakaa sawa, uzuri wenyewe wanakiri Kikwete alikua mzuri tofauti na walivyokua wakituhadaa hapa, ngoja na JPM watamsafisha tu kikubwa uzima ila hakuna rangi wataacha kuona.
 
Hata sasa unakosea pia! Lakini nilishakuambia mambo ya TZ waachie watz wewe endelea kubeba mabox na kuosha vibibi na vibabu vizee huko US. Najua unapata stress sana huko.
 
Wewe wakulima na wafanyabiashara wanakuhusu? Wakati upo huko kwa mabeberu njoo uone tunavyoendelea vizuri na maisha murwa. Hapa kazi tu!
 

Ahaaa haaa haaa
katika watu ambao hawajui wanachokitaka ni wewe. nimefuatilia post zako za KIPINDI cha KIKWETE ilikuwa hivi hivi kulaumu, kushutumu na kulalamika.
 
Si eti tunaumia bali tunacheka full comedy alafu unasema makufuli amekuwa best President miaka miwili mfululizo ila mwaka huu wa comedy show amekuwa namba mbili, si by 2020 Utakuwa anacheza ligi moja na Joseph Kabila.
CIA walikua wanamdukua mpaka Angel Markel ambae hata hawahusu, itakua JPM kuwadukua mawaziri wake? Hamna exposure, hili ni jambo la kawaida sana hata kiongozi wa serikali atakaemshangaa JPM atakua kichaa kutokujua kwamba hadukuliwi,

Nyie hamumjui JPM, hapo kuna message amemtumia mtu inawezekana katika kudukua viongozi wake tofauti kuna messages kaziona kwa ki/viongozi fulani walikua na mawasiliano negative kuhusu JPM, kwa hiyo hapo ni kuwafikishia ujumbe kwamba am watching you.
 

Sawa mimi zwazwa[emoji23][emoji23][emoji23],unajisikiaje unapokumbuka kwamba unateseka mpaka 2025???

Pole bana ndio ukumbwa huo.
 
Sawa sawa mjuaji .
 
Kwa akili yako fupi Mimi kuandika humu unadhani nateseka lakini huoni malalamiko mbali mbali ya Watanzania kuhusu udhalimu wa huyo dhalimu wenu. Iko siku akili yako itakaa sawa.

Sawa mimi zwazwa[emoji23][emoji23][emoji23],unajisikiaje unapokumbuka kwamba unateseka mpaka 2025???

Pole bana ndio ukumbwa huo.
 

Ahaaa haaa haaa
aisee jamaa wanamfyagilia balaa. wanasema the President who is known in the world for zero tolerance in corruption.
Teh teh teh tihiii
nimecheka MPAKA mbavu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…