Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hakika hii ni aibu kwa taifa, kwanini washauri wa mgombea Urais wa CCM ambaye bado ni Rais wa JMT wanashindwa kumuelekeza mambo ya kufanya? Haiwezekani Rais mzima apigishwe magoti uwanjani kwa Swagga za Singeli na kwa vile yeye ni Rais inabidi jukwaa zima na viherehere wote uwanjani wanajikuta wanapiga magoti.
Singeli kwa waijuao ina Swagga zake, washiriki wa Singeli wanaweza ambiwa 'haya inama tuone!' au "funua nguo ukate!" nk, jee mheshimiwa angedhani anaambiwa yeye na kufuata?
Hata kijana muimbaji alionyesha kushangaa kwa kitendo cha Rais kupiga magoti kufuatia "amri ya Swagga zake"
CCM na timu ya kampeni msisahau huyo bado ni Rais hadi 28/10 atakapokabidhi ofisi hivyo msiruhusu aibu za ajabu kama hizi, mfahamisheni hao wasanii wana lugha zao ambazo wapenzi wa sanaa zao ambao ndiyo wamejaa hapo uwanjani kuwafuata wanazijua.