Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 749
Kuchelewa ni kweli tumechelewa lakini swali tunajua tunakokimbilia? Unaweza kudhani unawahi kumbe unakimbia kurudi nyuma.
Kwanini?
1. Kuna viashiria vingi kuwa uchumi unaporomoka na sipendi niviorodheshe maana vinaongelewa kila siku.
2. Democrasia, hii ni nchi sio familia ya nyumbani kwa MTU, umeheshimiwa tu kupewa dhamana ya kutusikiliza na kufanya maslahi ya wengi.
3. Kazi pasipo utaratibu hua ni vurugu. Mikataba inayovunjwa bila procedures haitatugharimu?
4. Dhamira ya ushindi wa kweli hutafuta ushindi wa jamii sio sifa za mtu mmoja. Je, hayupo ajitukuzae? MF. Mzee alitawala ila hakutukana hovyo, aliwaheshimu watz wa enzi hizo japo hawa kua na elimu.
Alielezea faida na madhara ya alichotaka kufanya wala sio vitisho na kejeli. Wakati fulani alikiri udhaifu na kuomba waliofuata kuchukua Mazur na kuyaacha mabaya.
Uongozi wa nchi kinachotakiwa ni kujikana nafsi yako, kukana mahaba ya CHAMA, NDUGU, FAMILIA hata mapenzi yako ishi kwa ajili ya unaowaongoza wengi wakitaka waruhusu. Hata kwenye dini wakristo Biblia inaonyesha Mungu ndie baba wa Democrasia hakutaka wana wa Israel wawe na mfalme ila walipolazimisha aliwapa Saul. Sembuse sisi binadam?
Nakubaliana na baadhi ya hatua ila nimalizie Kwa kusema Kwa mwendo huu hatuwezi fika Kwa sababu ya migawanyiko, hofu, mashaka na chuki.