Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ujenzi wa Chuo Kikuu Chato ungekua na justification ya kupeleka fursa ya elimu kwa watu wa ukanda wa Geita, Kagera mpaka Kigoma. Hili hata bungeni lingepita kirahisi na isingemletea kashfa.
Chuo kikuu kinakusanya wanafunzi, hii huleta mzunguko wa hela kwa biashara hasa kwenye malazi, chakula, stationary, usafiri nguo nk. Pia Chuo Kikuu huzalisha ajira kwa jamii wanaoizunguka chuo. Unskilled labour ni rahisi kupatikana na watu wanajipatoa kipato.
Chuo Kikuu kinaleta hamasa kwa vijana kua na ndoto ya kufika pale. Hasa wale ambao hawana role model. Wengi hawana ndoto hizo kwakua nyumbani hakuna aliyefika huko.