Rais Magufuli anzisha television ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa sababu kuu tatu au nne muhimu zifuatazo ..

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Utangulizi;kuna Mali za Serikali na
Mali za chama,Chanel ten na TBC
In Mali ya serikali.
1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine.
2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu.
3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo.
4.Nyimbo zake zitakuwa za Chama na zile za kizalendo.
5.Ziara mbalimbali za viongozi walizo/wanazofanya nje.
6.Kuonyesha ziara za viongozi mbalimbali toka nje.
-Pia napendekeza nembo ya TV iwe dole gumba au jembe na nyundo
7.tamthilia zake zitakuwa mpya Tanzania ni zile toka magazeti ya Sani, kama Zena na Betina,Obi,visa vya akina baba ubaya toka Gazeti LA Bongo na Kingo ktk njia ya katuni.
Nb:;Mh.rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli,nakuomba ktk TV hiyo uniteuwe niwe mkurugenzi nionyeshe mfano wa kuenzi viongozi kupitia TV.asante.inbox jamii forum kwa atayependa.
 
Haipo ki ccm hata nembo yake siyo ya chama bado haijakaa sawa
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
 
Acha kukariri UPUMBAVU sio unafugia nywele tu hilo bichwa.
Watanzania mmekuwa wengi mpaka hamfahamiani !!
 
Moja.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine.
2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu.
3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo.
4.Nyimbo zake zitakuwa za Chama na zile za kizalendo.
5.Ziara mbalimbali za viongozi walizo/wanazofanya nje.
6.Kuonyesha ziara za viongozi mbalimbali toka nje.
7.tamthilia zake zitakuwa mpya Tanzania ni zile toka magazeti ya Sani, kama Zena na Betina,Obi,visa vya akina baba ubaya toka Gazeti LA Bongo na Kongo ktk njia ya katuni.
Nb:;Mh.rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli,nakuomba ktk TV hiyo uniteuwe niwe mkurugenzi nionyeshe mfano wa kuenzi viongozi kupitia TV.asante.inbox jamii forum kwa atayependa.
Hivi hujui kuwa Chanel 10 ni ya ccm? Labda uwashauri chandimu sio kila siku kulia na tibisii! Note ila waanze kwanza kujenga ofisi
 
Hajui na Redio zao Magic FM na Uhuru FM zote zina mkono wa CCM....
Tunataka TV na radio yenye nembo ya chama,hizo zingine ni Mali ya serikali chama chochote kikiingia kinatumia japo siombei ila ikiwa na nembo ya nyundo na jembe hiyo ndiyo TV na redio ya chama
 
Moja.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine.
2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu.
3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo.
4.Nyimbo zake zitakuwa za Chama na zile za kizalendo.
5.Ziara mbalimbali za viongozi walizo/wanazofanya nje.
6.Kuonyesha ziara za viongozi mbalimbali toka nje.
7.tamthilia zake zitakuwa mpya Tanzania ni zile toka magazeti ya Sani, kama Zena na Betina,Obi,visa vya akina baba ubaya toka Gazeti LA Bongo na Kongo ktk njia ya katuni.
Nb:;Mh.rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli,nakuomba ktk TV hiyo uniteuwe niwe mkurugenzi nionyeshe mfano wa kuenzi viongozi kupitia TV.asante.inbox jamii forum kwa atayependa.
Hata Tbc pia ni ya chama
 
Back
Top Bottom